Loading...
title : MKUCHIKA AKUTANA NA MWAKILISHI WA UNICEF NCHINI
link : MKUCHIKA AKUTANA NA MWAKILISHI WA UNICEF NCHINI
MKUCHIKA AKUTANA NA MWAKILISHI WA UNICEF NCHINI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na Mwakilishi wa UNICEF nchini Bi. Maniza Zaman alipomtembelea ofisini kwake jana.
Mwakilishi wa UNICEF nchini Bi. Maniza Zaman akisisitiza jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) alipomtembelea waziri huyo ofisini kwake jana .
Hivyo makala MKUCHIKA AKUTANA NA MWAKILISHI WA UNICEF NCHINI
yaani makala yote MKUCHIKA AKUTANA NA MWAKILISHI WA UNICEF NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKUCHIKA AKUTANA NA MWAKILISHI WA UNICEF NCHINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/mkuchika-akutana-na-mwakilishi-wa.html
0 Response to "MKUCHIKA AKUTANA NA MWAKILISHI WA UNICEF NCHINI"
Post a Comment