Loading...

HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA YABOMOA NYUMBA YA SERIKALI

Loading...
HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA YABOMOA NYUMBA YA SERIKALI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA YABOMOA NYUMBA YA SERIKALI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA YABOMOA NYUMBA YA SERIKALI
link : HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA YABOMOA NYUMBA YA SERIKALI

soma pia


HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA YABOMOA NYUMBA YA SERIKALI


Na Emanuel Madafa-Mbeya 

HALMASHAURI ya Jiji la Mbeya, imetoa siku saba kwa mkandarasi anayejenga nyumba ya serikali iliyoamuliwa na mahakama kuu kujengwa, kuibomoa baada ya kubainika kujengwa chini ya kiwango.

Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake , Afisa habari wa halmashauri hiyo, John Kilua, amesema ofisi kupitia idara ya majengo ilitembelea eneo la nyumba hiyo inayojengwa kwa amri ya mahakama kuu na kubaini changamoto mbalimbali za ujenzi.

Amesema, kutokana na changamoto hizo wahusika wanaojenga nyumba hiyo wametakiwa kuibomoa na kuanza upya kwa kufuata kanuni za ujenzi na kwamba zoezi la kubomolewa kwa jengo hilo la nyumba linatakiwa kufanyika ndani ya siku saba.Nyumba hiyo yenye namba 1103/5 ambayo ipo katika eneo la Mafiat Jijini hapa, ilifunguliwa kesi namba 63 ya mwaka 2007 katika mahakama

Muonekano wa Nyumba yenye namba 1103/5 ambayo ipo katika eneo la Mafiat Jijini Mbeya , ilifunguliwa kesi namba 63 ya mwaka 2007 katika mahakama ya Wilaya Mbeya. 



Hivyo makala HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA YABOMOA NYUMBA YA SERIKALI

yaani makala yote HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA YABOMOA NYUMBA YA SERIKALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA YABOMOA NYUMBA YA SERIKALI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/halmashauri-ya-jiji-la-mbeya-yabomoa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA YABOMOA NYUMBA YA SERIKALI"

Post a Comment

Loading...