Loading...
title : MAJALIWA AKAGUA MASHAMBA BORA YA PAMBA KATIKA VIJIJI VYA KILYABOYA NA SOLWE WILAYANI KWIMBA
link : MAJALIWA AKAGUA MASHAMBA BORA YA PAMBA KATIKA VIJIJI VYA KILYABOYA NA SOLWE WILAYANI KWIMBA
MAJALIWA AKAGUA MASHAMBA BORA YA PAMBA KATIKA VIJIJI VYA KILYABOYA NA SOLWE WILAYANI KWIMBA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Pamba, Marco Mtunga (watatu kulia) kuhusu zao la pamba lililostawi vizuri wakati alipotembelea shamba darasa katika kijiji cha Kilyaboya wilayani Kwimba Februari 16, 2018. Wanne kulia ni Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongella na kushoto ni Afisa Kilimo wa wilaya ya Kwimba, Magreth Kavalo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua shamba la pamba la Bw. Dotto Masomi (kushoto) katika kijiji cha Solwe wilayani Kwimba Februari 16, 2018, Kushoto kwake ni Mkuu wa wilaya ya Kwimba Mtemi Simon Msafiri.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua shamba la pamba la Bw. Dotto Masomi (kushoto) katika kijiji cha Solwe wilayani Kwimba Februari 16, 2018, Kushoto kwake ni Mkuu wa wilaya ya Kwimba Mtemi Simon Msafiri.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza, Dotto Masomi baada ya kutembelea shamba la pamba la mkulima huyo katika kijiji cha Solwe wilayani Kwimba na kufurahishwa na ubora wa shamba hilo Februari 16, 2018. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Hivyo makala MAJALIWA AKAGUA MASHAMBA BORA YA PAMBA KATIKA VIJIJI VYA KILYABOYA NA SOLWE WILAYANI KWIMBA
yaani makala yote MAJALIWA AKAGUA MASHAMBA BORA YA PAMBA KATIKA VIJIJI VYA KILYABOYA NA SOLWE WILAYANI KWIMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA AKAGUA MASHAMBA BORA YA PAMBA KATIKA VIJIJI VYA KILYABOYA NA SOLWE WILAYANI KWIMBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/majaliwa-akagua-mashamba-bora-ya-pamba.html
0 Response to "MAJALIWA AKAGUA MASHAMBA BORA YA PAMBA KATIKA VIJIJI VYA KILYABOYA NA SOLWE WILAYANI KWIMBA"
Post a Comment