Loading...
title : MAJALIWA AZINDUA MADARASA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA NYEHUNGE WILAYANI SENGEREMA
link : MAJALIWA AZINDUA MADARASA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA NYEHUNGE WILAYANI SENGEREMA
MAJALIWA AZINDUA MADARASA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA NYEHUNGE WILAYANI SENGEREMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Askofu wa Jimbo Katoliki la Geita, Dkt. Flavian Kassala baada ya kuweka jiwe la msing la hospitali ya Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema Februari 15, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama vitanda wakati alipokagua Bweni lililopewa jina la Dkt.John Pombe Magufuli katika Shule ya Secondari ya Nyehunge wilayani Sengerema Februari 15, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua madarasa ya Kidato cha Tano na Sita katika Shule ya Secondari ya Nyehunge wilayani Sengerema Februari 15, 2018. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella, Watatu kushoto ni Waziri wa Kilimo , Dkt. Charles Tizeba na wapili kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mwanza, Dkt. Anthony Diallo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua darasa wakati alipozindua madarasa ya Kidato cha Tano na Sita katika Shule ya Secondari ya Nyehunge wilayani Sengerema, Februari 15, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala MAJALIWA AZINDUA MADARASA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA NYEHUNGE WILAYANI SENGEREMA
yaani makala yote MAJALIWA AZINDUA MADARASA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA NYEHUNGE WILAYANI SENGEREMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA AZINDUA MADARASA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA NYEHUNGE WILAYANI SENGEREMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/majaliwa-azindua-madarasa-katika-shule.html
0 Response to "MAJALIWA AZINDUA MADARASA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA NYEHUNGE WILAYANI SENGEREMA"
Post a Comment