Loading...
title : MWANASHERIA MKUU AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI MKUU
link : MWANASHERIA MKUU AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI MKUU
MWANASHERIA MKUU AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI MKUU
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dk.Adelardus Kilangi jana ( Jumanne) amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ikiwa ni sehemu ya kujitambulisha kwa viongozi mbalimbali. Viongozi hao wawili walibadilisha mawazo juu ya masuala mbalimbali na kuahidi kushirikiana kwa karibu.
Picha kwa hisani ya PMO
Hivyo makala MWANASHERIA MKUU AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI MKUU
yaani makala yote MWANASHERIA MKUU AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI MKUU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MWANASHERIA MKUU AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI MKUU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/mwanasheria-mkuu-afanya-mazungumzo-na.html
0 Response to "MWANASHERIA MKUU AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI MKUU"
Post a Comment