Loading...
title : DKT. MWIGULU AONGOZA OPARESHENI KUTEKETEZA EKARI SITA ZA BANGI, ARUMERU
link : DKT. MWIGULU AONGOZA OPARESHENI KUTEKETEZA EKARI SITA ZA BANGI, ARUMERU
DKT. MWIGULU AONGOZA OPARESHENI KUTEKETEZA EKARI SITA ZA BANGI, ARUMERU
Waziri
wa mambo ya ndani nchini,Dkt Mwigulu Nchemba leo ameongoza oparesheni
ya kuteketeza jumla ya ekari sita za bangi zilizokuwa zimelimwa
katikati ya msitu ndani ya kijiji cha Engalaoni wilayani Arumeru mkoani
Arusha.
Mwigulu akishirikiana na kamanda wa jeshi la polisi
mkoani Arusha,(RPC)Charles Mkumbo pamoja na vikosi vya askari wa jeshi
la polisi mkoani hapa walilazimika kuacha magari yao njiani na kutembea
umbali wa kilomita 5 milimani kufika katikati ya msitu huo ambapo
wamiliki wa mashamba hayo walitokomea kusikojulikana.
Akizungumza
na waandishi wa habari wakati wa zoezi hilo Mwigulu alisema kwamba
serikali itaendelea na oparesheni pande zote za nchi na haitasita
kuwakamata wahusika wote na kutaifisha magari yatakayotumika kusafirisha
bangi.
Akizungumza na askari waliokuwa wakishiriki katika zoezi
hilo Mwigulu mbali na kuwapongeza kwa kazi wanayofanya lakini aliwambia
kwamba pamoja na kufanikiwa kuteketeza madawa ya kulevya yanayolimwa
mashambani lakini waongeze juhudi pia katika kupambana na madawa ya
kulevya yanayotengenezwa viwandani.
Waziri wa mambo ya ndani nchini,Dkt Mwigulu Nchemba leo ameongoza
oparesheni ya kuteketeza jumla ya ekari sita za bangi zilizokuwa
zimelimwa katikati ya msitu ndani ya kijiji cha Engalaoni wilayani
Arumeru mkoani Arusha.
Waziri wa mambo ya ndani nchini,Dkt Mwigulu Nchemba leo ameongoza
oparesheni ya kuteketeza jumla ya ekari sita za bangi zilizokuwa
zimelimwa katikati ya msitu ndani ya kijiji cha Engalaoni wilayani
Arumeru mkoani Arusha.
Hivyo makala DKT. MWIGULU AONGOZA OPARESHENI KUTEKETEZA EKARI SITA ZA BANGI, ARUMERU
yaani makala yote DKT. MWIGULU AONGOZA OPARESHENI KUTEKETEZA EKARI SITA ZA BANGI, ARUMERU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DKT. MWIGULU AONGOZA OPARESHENI KUTEKETEZA EKARI SITA ZA BANGI, ARUMERU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/dkt-mwigulu-aongoza-oparesheni.html
0 Response to "DKT. MWIGULU AONGOZA OPARESHENI KUTEKETEZA EKARI SITA ZA BANGI, ARUMERU"
Post a Comment