Loading...

POLAND KUFUNGUA OFISI ZA UBALOZI WAKE NCHINI TANZANIA MWEZI APRIL MWAKA HUU.

Loading...
POLAND KUFUNGUA OFISI ZA UBALOZI WAKE NCHINI TANZANIA MWEZI APRIL MWAKA HUU. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa POLAND KUFUNGUA OFISI ZA UBALOZI WAKE NCHINI TANZANIA MWEZI APRIL MWAKA HUU., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : POLAND KUFUNGUA OFISI ZA UBALOZI WAKE NCHINI TANZANIA MWEZI APRIL MWAKA HUU.
link : POLAND KUFUNGUA OFISI ZA UBALOZI WAKE NCHINI TANZANIA MWEZI APRIL MWAKA HUU.

soma pia


POLAND KUFUNGUA OFISI ZA UBALOZI WAKE NCHINI TANZANIA MWEZI APRIL MWAKA HUU.

Na Ismail Ngayonga.

SERIKALI ya Jamhuri ya Poland mapema mwezi April mwaka huu inatarajia kufungua upya Ofisi za Ubalozi wa nchi hiyo hapa nchini ambazo zilifungwa kwa muda, hatua inalenga kuimarisha uhusiano na ushirikiano baina ya Mataifa hayo.

Hayo yamesemwa leo Ijumaa (Februari 23, 2018) Jijini Dar es Salaam na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe wakati alipokuwa Salamu za Rais wa Poland kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.

Dkt. Mwakyembe alisema hatua zote muhimu za ufunguzi wa Ubalozi huo, taratibu zote muhimu kwa ajili ya ufunguzi Ofisi za Ubalozi huo tayari zimekamilika na kuongeza kuwa kufunguliwa kwa ubalozi kutazidi kudumisha ushirikiano na urafiki wa muda mrefu baina ya Tanzania na Poland pamoja na kuimarisha diplomasia ya uchumi baina ya mataifa hayo.

 “Serikali ya Jamhuri ya Poland imekuwa na ushirikiano wa muda mrefu na Tanzania, ambapo matunda ya ushirikiano ni kwa Serikali yetu kupata wa mkopo wa masharti nafuu uliofanikisha uanzishaji wa kiwanda kikubwa cha matrekta kibaha Mkoani Pwani” alisema Dkt. Mwakyekmbe.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais wa Poland Mhe. Krzysztof Szczerski  wakati alipoleta salamu za Rais wa Poland na mwaliko kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli, mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe (kulia) akipokea salamu za Rais wa Poland na mwaliko kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli toka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais wa Poland Mh.Krzysztof Szczerski.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais wa Poland Mh.Krzysztof Szczerski (kushoto) akiteta jambo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe mara baada ya kukabidhi  salamu za Rais wa Poland na mwaliko kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli mapema hii leo jijini Dar es Salaam.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala POLAND KUFUNGUA OFISI ZA UBALOZI WAKE NCHINI TANZANIA MWEZI APRIL MWAKA HUU.

yaani makala yote POLAND KUFUNGUA OFISI ZA UBALOZI WAKE NCHINI TANZANIA MWEZI APRIL MWAKA HUU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala POLAND KUFUNGUA OFISI ZA UBALOZI WAKE NCHINI TANZANIA MWEZI APRIL MWAKA HUU. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/poland-kufungua-ofisi-za-ubalozi-wake.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "POLAND KUFUNGUA OFISI ZA UBALOZI WAKE NCHINI TANZANIA MWEZI APRIL MWAKA HUU."

Post a Comment

Loading...