Loading...
title : SIMBA YAIBUGIZA MBAO FC BAO 5 - 0
link : SIMBA YAIBUGIZA MBAO FC BAO 5 - 0
SIMBA YAIBUGIZA MBAO FC BAO 5 - 0
Mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Okwi akishangilia moja ya bao alilofunga katika mchezo dhidi ya Mbao FC mchezo uliofanyika katika dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo. Simba iliibugiza Mbao FC bao 5 - 0.

Beki kisiki wa Simba SC, Erasto Nyoni akiwa katika furaha na Kiungo Mkabaji wa Kikosi hicho, James Kotei.

Emmanuel Okwi akiwa chini baadayakuchezewa ndivyo sivyo na Beki wa Mbao FC.
Mashabiki wa Klabu ya Simba akifutilia mtanange huo, ambapo timu yao iliibuka na ushindi wa bao 5 - 0 katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mbao FC.
Hivyo makala SIMBA YAIBUGIZA MBAO FC BAO 5 - 0
yaani makala yote SIMBA YAIBUGIZA MBAO FC BAO 5 - 0 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SIMBA YAIBUGIZA MBAO FC BAO 5 - 0 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/simba-yaibugiza-mbao-fc-bao-5-0.html
0 Response to "SIMBA YAIBUGIZA MBAO FC BAO 5 - 0"
Post a Comment