Loading...
title : SIXTUS MAPUNDA AMNADI KWA KISHINDO MTULIA, KINONDONI SHAMBA
link : SIXTUS MAPUNDA AMNADI KWA KISHINDO MTULIA, KINONDONI SHAMBA
SIXTUS MAPUNDA AMNADI KWA KISHINDO MTULIA, KINONDONI SHAMBA

Mbunge wa Mbinga Mjini, Sixtus Mapunda (kushoto) akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni, Said Mtulia katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo Feb 13, 2018, katika Kata ya Kinondoni Shamba jijini Dar es Salaam

Mbunge wa Mbinga Mjini, Sixtus Mapunda akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni, Said Mtulia katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo Feb 13, 2018, katika Kata ya Kinondoni Shamba jijini Dar es Salaam

Mbombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi mdogo jimbo la Kinondoni Sad Mtulia akiomba kura kwa wananch katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika kata ya Kinondoni Shamba jijini Dar es Salaam, leo Feb 213, 2018
Baadhi ya Wabunge wakiwa jukwaaani kumuombea kura mgombea ubunge wa CCM Said Mtulia katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo katika Kata ya Kinondoni Shamba, leo Feb 13, 2018.
Hivyo makala SIXTUS MAPUNDA AMNADI KWA KISHINDO MTULIA, KINONDONI SHAMBA
yaani makala yote SIXTUS MAPUNDA AMNADI KWA KISHINDO MTULIA, KINONDONI SHAMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SIXTUS MAPUNDA AMNADI KWA KISHINDO MTULIA, KINONDONI SHAMBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/sixtus-mapunda-amnadi-kwa-kishindo.html
0 Response to "SIXTUS MAPUNDA AMNADI KWA KISHINDO MTULIA, KINONDONI SHAMBA"
Post a Comment