Loading...

TAASISI YA ALBINISM AWARENESS NA UBALOZI WA KUWAIT WATOA MISAADA KWA WATU WENYE ULEMAVU

Loading...
TAASISI YA ALBINISM AWARENESS NA UBALOZI WA KUWAIT WATOA MISAADA KWA WATU WENYE ULEMAVU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAASISI YA ALBINISM AWARENESS NA UBALOZI WA KUWAIT WATOA MISAADA KWA WATU WENYE ULEMAVU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAASISI YA ALBINISM AWARENESS NA UBALOZI WA KUWAIT WATOA MISAADA KWA WATU WENYE ULEMAVU
link : TAASISI YA ALBINISM AWARENESS NA UBALOZI WA KUWAIT WATOA MISAADA KWA WATU WENYE ULEMAVU

soma pia


TAASISI YA ALBINISM AWARENESS NA UBALOZI WA KUWAIT WATOA MISAADA KWA WATU WENYE ULEMAVU

 Kaimu Balozi wa Kuwait nchini,  Mohamed Al-Amiri akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuikabidhi Shule ya Msingi ya Jeshi la uokovu vifaa vya walemavu wa viungo na ngozi pembeni yake mwasisi wa Jumuiya ya Albinism Awareness Foundation Suleiman Magoma, Mwalimu wa shule Bi. Flourina Milinga na Afisa elimu taaluma Mkoa Bw. Fortunatus Kagoro
 Mwasisi wa Jumuiya ya Albinism Awareness Foundation, Suleiman Magoma akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kupokea vifaa vya walemavu wa viungo na ngozi vyenye thamani ya shilingi milioni 30 ikiwa ni msaada kutoka Serikali ya nchi ya Kuwait,pembeni yake aliyevaa kanzu ni Kaimu Balozi wa Kuwait nchini Mhe.Mohamed Al-Amiri
Kaimu Balozi wa Kuwait nchini, Mohamed Al-Amiri awakabidhi wanafunzi walemavu wa Shule ya Msingi ya Wokovu viti vya matairi,pembeni yake mwasisi wa Albinism Awareness Foundation Suleiman Magoma na Mkurugenzi qa shule Thomas Sinana.


Hivyo makala TAASISI YA ALBINISM AWARENESS NA UBALOZI WA KUWAIT WATOA MISAADA KWA WATU WENYE ULEMAVU

yaani makala yote TAASISI YA ALBINISM AWARENESS NA UBALOZI WA KUWAIT WATOA MISAADA KWA WATU WENYE ULEMAVU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAASISI YA ALBINISM AWARENESS NA UBALOZI WA KUWAIT WATOA MISAADA KWA WATU WENYE ULEMAVU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/taasisi-ya-albinism-awareness-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAASISI YA ALBINISM AWARENESS NA UBALOZI WA KUWAIT WATOA MISAADA KWA WATU WENYE ULEMAVU"

Post a Comment

Loading...