Loading...

UVCCM YAMPITISHA JPM UGOMBEA WA RAIS 2020

Loading...
UVCCM YAMPITISHA JPM UGOMBEA WA RAIS 2020 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UVCCM YAMPITISHA JPM UGOMBEA WA RAIS 2020, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UVCCM YAMPITISHA JPM UGOMBEA WA RAIS 2020
link : UVCCM YAMPITISHA JPM UGOMBEA WA RAIS 2020

soma pia


UVCCM YAMPITISHA JPM UGOMBEA WA RAIS 2020

Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, kupitia kwa Katibu wa idara ya uhamasishaji na chipukizi Hassan Bomboko, imesema kuelekea uchaguzi wa mwaka 2020 umoja huo utaenda Dodoma kuhakikisha Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi wa sasa Rais John Pombe Magufuli, anapewa nafasi ya kuwania tena Urais.
Kwa mujibu wa Bomboko kwenye kikao kitakachofanyka Dodoma Umoja huo hautakuwa na lengo jingine zaidi ya kumpitisha Rais Magufuli kuwania tena nafasi hiyo ya kukiongoza chama hicho kwenye uchaguzi wa awamu ya pili.

"Kama msemaji rasmi wa UVCCM, msimamo wa taasisi yetu ni kwamba hatuna na hatutakuwa na mchakato wa kumtafuta mgombea Urais 2020 mwingine zaidi ya Magufuli ambaye ndiyo Mwenyekiti wa CCM" amesema Hassan Bomboko, UVCCM.

Aidha Bomboko amesema kuwa "mwaka 2020 tutakwenda Dodoma kwenye mchakato wa kidemokrasia Kukamilisha desturi yetu ya CCM ya kumbariki mgombea wetu kwa muhula wa pili, uchaguzi wa mgombea wa CCM tulishamaliza mwaka 2015"

"Kwa wenye nia ya kugombea Urais 2020 kupitia CCM watafute biashara nyingine ya kufanya kwani CCM hakuna Urais wa kupeana kiushemeji" ameongeza Hassan Bomboko


Hivyo makala UVCCM YAMPITISHA JPM UGOMBEA WA RAIS 2020

yaani makala yote UVCCM YAMPITISHA JPM UGOMBEA WA RAIS 2020 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UVCCM YAMPITISHA JPM UGOMBEA WA RAIS 2020 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/uvccm-yampitisha-jpm-ugombea-wa-rais.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UVCCM YAMPITISHA JPM UGOMBEA WA RAIS 2020"

Post a Comment

Loading...