Loading...
title : TANZIA: Ruvuma Press Club wamlilia mwenyekiti wao Marehemu Hassan Simba
link : TANZIA: Ruvuma Press Club wamlilia mwenyekiti wao Marehemu Hassan Simba
TANZIA: Ruvuma Press Club wamlilia mwenyekiti wao Marehemu Hassan Simba
Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Ruvuma (RPC) kimepokea kwa msikitiko taarifa ya kifo cha Mwenyekiti wa Mtwara press club Hassan Simba kilichotokea Leo mchana.
Uongozi wa RPC unatoa pole kwa wanachama wa Mtwara press club, Familia ya Marehemu, Ndugu, jamaa na Marafiki na wote walioguswa na msiba huu ,tunawaombea kwa Mwenyezi Mungu awajalie uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
Pumzika kwa Amani Ndugu yetu mpendwa.
Imetolewa na:
Andrew Chatwanga,
Katibu Ruvuma Press Club.
Hivyo makala TANZIA: Ruvuma Press Club wamlilia mwenyekiti wao Marehemu Hassan Simba
yaani makala yote TANZIA: Ruvuma Press Club wamlilia mwenyekiti wao Marehemu Hassan Simba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANZIA: Ruvuma Press Club wamlilia mwenyekiti wao Marehemu Hassan Simba mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/tanzia-ruvuma-press-club-wamlilia.html
0 Response to "TANZIA: Ruvuma Press Club wamlilia mwenyekiti wao Marehemu Hassan Simba"
Post a Comment