Loading...

IDARA YA UHAMIAJI WAFANYA USAFI KITUO CHA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM, SHULE YA MSINGI MATUMAINI

Loading...
IDARA YA UHAMIAJI WAFANYA USAFI KITUO CHA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM, SHULE YA MSINGI MATUMAINI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IDARA YA UHAMIAJI WAFANYA USAFI KITUO CHA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM, SHULE YA MSINGI MATUMAINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IDARA YA UHAMIAJI WAFANYA USAFI KITUO CHA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM, SHULE YA MSINGI MATUMAINI
link : IDARA YA UHAMIAJI WAFANYA USAFI KITUO CHA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM, SHULE YA MSINGI MATUMAINI

soma pia


IDARA YA UHAMIAJI WAFANYA USAFI KITUO CHA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM, SHULE YA MSINGI MATUMAINI


Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii

IDARA ya Uhamiaji nchini imefanya usafi katika Kituo cha watoto wenye mahitaji maalumu na Shule ya Msingi ya Matumaini ya Jeshi la Waokovu ‘Salvation Army’ iliyopo Kurasini jijini Dar es Salaam.

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam baada ya kumaliza kufanya usafi katika shule hiyo,kwa niaba ya Kamishina Jenerali wa Idara hiyo , Kamishina wa Utawala na Fedha, Edward Chogera amesema tangu kutangzwa Siku ya Jumamosi ni ya kufanya usafi Idara yai imekuwa ikifanya jitihada za kufanya usafi huo katika maeneo ambayo yana mchango kwa jamii.

Amesema shule ya Matumaini na kituo ni sehemu muhimu kutokana na watoto wanaosoma hapo kuwa na mahitaji maalumu.Kituo hicho hakiwezi kufanya chenyewe kutokana na mazingira ya watoto hao.Ameongeza mbali ya kufanya usafi katika kituo hicho wametoa pia msaada wenye thamani sh.500,000 ambao umetokana na wafanyakazi wa idara na wadau wenye ni njema kusaidia kundi maalumu ya kituo cha Jeshi la Uokovu .

Aidha amesema katika kipindi kijacho wamepanga kuwafikia watu wengine katika kufanya usafi ikiwa ni sehemu ya wafanyakazi kujua jamii inayowazunguka.Msaada waliotoa ni , Mchele, Maharage sukari , Mafuta ya kula , Sabuni za kuogea , Unga wa mahindi na mafuta ya kupakaa kwa wanafunzi wenye Ualbino .

Kwa upande wake Mkurugenzi wa kituo hicho,Timoth Sinana amesema licha kupata elimu,watoto wamekuwa wamekuwa wakiendelezwa kwenye mambo mbalimbali yakiwamo ufundi nguo na kuendeleza vipaji vyao.Amesema wanafunzi hao wamekuwa bora kimkoa katika suala la vipaji.
Kamishina wa Utawala na Fedha wa Idara ya Uhamiaji , Edward Chogera akizungumza wanafunzi na walimu pamoja na walezi wa kituo na shule ya Matumaini ya Jeshi la Waokovu Salvation Army mara baada ya kumaliza usafi katika kituo hicho jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Kituo cha Jeshi la Waokovu pamoja shule ya Matumaini, Timoth Sinana akizungumza kuhusiana na historia ya shule hiyo tangu ilipoanzishwa mwaka 1969 pamoja na mafanikio ya shule hiyo .
Msaada uliotolewa katika kituoa hicho ni , Mchele, Maharage sukari , Mafuta ya Kula , Sabuni za Kuogea , Unga wa Mahindi pamoja na mafuta ya kupakaa kwa wanafunzi Wenye Ualbino .  

Baadhi wa wafanyakazi katika shule ya msingi ya matumaini na kituo cha jeshi la Waokovu


Hivyo makala IDARA YA UHAMIAJI WAFANYA USAFI KITUO CHA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM, SHULE YA MSINGI MATUMAINI

yaani makala yote IDARA YA UHAMIAJI WAFANYA USAFI KITUO CHA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM, SHULE YA MSINGI MATUMAINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IDARA YA UHAMIAJI WAFANYA USAFI KITUO CHA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM, SHULE YA MSINGI MATUMAINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/idara-ya-uhamiaji-wafanya-usafi-kituo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "IDARA YA UHAMIAJI WAFANYA USAFI KITUO CHA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM, SHULE YA MSINGI MATUMAINI"

Post a Comment

Loading...