Loading...
title : WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO KAZINI
link : WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO KAZINI
WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO KAZINI
Wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Machinga,akisafisha vikombo katika Barabara ya Morogoro Shekilango jijini Dar es Salaam.

Kijana akipima chupa za plastiki anazozikusanya mtaani na kuziuza jijini Dar es Salaamu,kilo moja huuza kati ya shilingi 300 hadi 400.

Wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Machinga, wakitembeza bidhaa zao wakati wakisaka wateja katika foleni ya magari, Barabara ya Morogoro,eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam jana. Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii.
Hivyo makala WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO KAZINI
yaani makala yote WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO KAZINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO KAZINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/wafanyabiashara-ndogondogo-kazini.html
0 Response to "WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO KAZINI"
Post a Comment