Loading...

WAZIRI JAFO AWATAKA WADAU WA ELIMU KUUNGA MKONO SERA YA ELIMU BILA MALIPO

Loading...
WAZIRI JAFO AWATAKA WADAU WA ELIMU KUUNGA MKONO SERA YA ELIMU BILA MALIPO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI JAFO AWATAKA WADAU WA ELIMU KUUNGA MKONO SERA YA ELIMU BILA MALIPO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI JAFO AWATAKA WADAU WA ELIMU KUUNGA MKONO SERA YA ELIMU BILA MALIPO
link : WAZIRI JAFO AWATAKA WADAU WA ELIMU KUUNGA MKONO SERA YA ELIMU BILA MALIPO

soma pia


WAZIRI JAFO AWATAKA WADAU WA ELIMU KUUNGA MKONO SERA YA ELIMU BILA MALIPO

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe.Selemani Jafo amewataka Wadau wote wa Elimu pamoja na jamii kwa ujumla kushirikiana na serikali  kutekeleza sera ya elimu Bila Malipo. 

Jafo ameyasema hayo alipokuwa akikabidhi vifaa vya shule katika shule ya msingi Uguzi, iliyopo wilayani Chamwino, mkoani Dodoma. 

Vifaa hivyo vilitolewa na wadau mbalimbali wa elimu wakiwemo Dkt. Ombeni Msuya na Abdala Jacob kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma.Amewataka wadau hao wasikate tamaa kuunga mkono Serikali kuhusu Elimu. “Japo changamoto ni nyingi lakini wanafunzi wenye uhitaji maalum wanahitaji msaada wao”. alisisitiza 

Amesema wanafunzi wengi wanakosa fursa ya vitendea kazi kama madaftari na kalamu hivyo ni jambo la  msingi kwa wadau wa elimu kuendelea kusaidia watoto hao na kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli kutekeleza sera ya Elimu Bila Malipo.

Waziri Jafo pia alizindua mpango maalum wa kusaidia wanafunzi wenye uhitaji maalum ambao ameupa jina la “Nisaidie daftari na peni nami nipate elimu”.Waziri Jafo amesema ujumbe huo unamhusu mtoto mwenye uhitaji wa kupata elimu na kuwaomba  Watanzania kwa ujumla kuunga mkono jambo hilo.
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe.Selemani Jafo akizungumza katika uzinduzi wa mpango maalum wa kusaidia wanafunzi wenye uhitaji maalum ambao ameupa jina la “Nisaidie daftari na peni nami nipate elimu”.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe.Selemani Jafo akikabidhi madaftari kwa wanafunzi  na uzinduzi wa mpango wa “Nisaidie daftari na peni nami nipate elimu”.
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe.Selemani Jafo akikabidhi madaftari kwa wanafunzi  na uzinduzi wa mpango wa “Nisaidie daftari na peni nami nipate elimu”.



Hivyo makala WAZIRI JAFO AWATAKA WADAU WA ELIMU KUUNGA MKONO SERA YA ELIMU BILA MALIPO

yaani makala yote WAZIRI JAFO AWATAKA WADAU WA ELIMU KUUNGA MKONO SERA YA ELIMU BILA MALIPO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI JAFO AWATAKA WADAU WA ELIMU KUUNGA MKONO SERA YA ELIMU BILA MALIPO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/waziri-jafo-awataka-wadau-wa-elimu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI JAFO AWATAKA WADAU WA ELIMU KUUNGA MKONO SERA YA ELIMU BILA MALIPO"

Post a Comment

Loading...