Loading...
title : WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AKUTANA NA MUANZILISHI WA TAASISI YA DORIS MOLLEL
link : WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AKUTANA NA MUANZILISHI WA TAASISI YA DORIS MOLLEL
WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AKUTANA NA MUANZILISHI WA TAASISI YA DORIS MOLLEL
Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mahmoud Thabit Kombo (kushoto) akimsikiliza Muanzilishi wa Taasisi ya Doris Mollel na Balozi wa Watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (Njiti), Doris Mollel aliyemtembelea ofisini kwake kwa ajili ya kuona namna ya kusaidia Watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (Njiti), ambao huitaji uangalizi wa hali ya juu baada ya kuzaliwa kwao.
Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mahmoud Thabit Kombo azungumza jambo na Muanzilishi wa Taasisi ya Doris Mollel na Balozi wa Watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (Njiti), Doris Mollel aliyemtembelea ofisini kwake leo.
Hivyo makala WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AKUTANA NA MUANZILISHI WA TAASISI YA DORIS MOLLEL
yaani makala yote WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AKUTANA NA MUANZILISHI WA TAASISI YA DORIS MOLLEL Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AKUTANA NA MUANZILISHI WA TAASISI YA DORIS MOLLEL mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/waziri-wa-afya-zanzibar-akutana-na.html
0 Response to "WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AKUTANA NA MUANZILISHI WA TAASISI YA DORIS MOLLEL"
Post a Comment