Loading...
title : BALOZI SEIF AWASILI ZANZIBAR AKITOKEA CUBA
link : BALOZI SEIF AWASILI ZANZIBAR AKITOKEA CUBA
BALOZI SEIF AWASILI ZANZIBAR AKITOKEA CUBA
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Mohamed Aboud Mohamed mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume akitokea Nchini Jamuhuri ya Cuba kwa ziara Maalum. Wa kwanza kutoka Kulia ni Waziri wa Habari, Utalii na Mambio ya Kale Mheshimiwa Mahmoud Thabit Kombo.
Balozi Seif alisalimiana na baadhi ya Viongozi na Waasisi wa Vyama vya Siasa Nchini alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume Zanzibar.
Balozi Seif akibadilishana mawazo na baadhi ya Viongozi wa Serikali na vyama vya Kisiasa Ukumbi wa Watu Mashuhuri (VIP) mara baada ya Kuwasili Uwanja wa Abeid Aman Karume.
Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Bwana Ali Davutoglu kati kati akimtambulisha kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Mkurugenzi Mkuu wa Maarifa Foundation School iliyopo Kidimni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja. Picha na – OMPR – ZNZ.
Hivyo makala BALOZI SEIF AWASILI ZANZIBAR AKITOKEA CUBA
yaani makala yote BALOZI SEIF AWASILI ZANZIBAR AKITOKEA CUBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI SEIF AWASILI ZANZIBAR AKITOKEA CUBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/balozi-seif-awasili-zanzibar-akitokea.html
0 Response to "BALOZI SEIF AWASILI ZANZIBAR AKITOKEA CUBA"
Post a Comment