Loading...
title : Mbowe, vigogo Chadema wafikishwa Mahakama ya kisutu,wanakabiliwa na mashtaka nane likiwemo la uchochezi na uasi.
link : Mbowe, vigogo Chadema wafikishwa Mahakama ya kisutu,wanakabiliwa na mashtaka nane likiwemo la uchochezi na uasi.
Mbowe, vigogo Chadema wafikishwa Mahakama ya kisutu,wanakabiliwa na mashtaka nane likiwemo la uchochezi na uasi.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Freeman Mbowe na vingozi wenzake watano, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka nane yakiwemo ya uchochezi na uasi.
Mbali na Mbowe washtakiwa wengine ni Peter Msigwa, Salum Salum, John Mnyika, Ester Matiko na Dk Mashinji.
Katika mashtaka hayo nane, shtaka la kwanza na la pili linawakabili watuhumiwa wote sita, huku Mbowe peke yake anakabiliwa na mashtaka matano, yaani shtaka la tatu hadi la saba na Msigwa akikabiliwa na shtaka moja la peke yake la nane.
Akisoma hati ya mashitaka wakili wa Serikali Mwandamizi, Faraja Nchimbi amedai mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri, kuwa Februari 16, mwaka huu washtakiwa kwa pamoja, wakiwa katika barabara ya Kawawa wilayani Kinondoni, walifanya mkusanyiko na maandamano isivyo halali kinyume na sheria,
Imedaiwa walikusanyika kutekeleza lengo la pamoja kufanya mkusanyiko usio wa halali wenye vurugu na kufanya watu waogope kwamba watakwenda kusababisha uvunjifu wa amani.
Aidha Nchimbi ameongeza kudai kuwa, Februari 16, mwaka huu katika barabara ya Kawawa eneo la Mkwajuni wilayani Kinondoni, washtakiwa wakiwa wamekusanyika wao na wenzao 12 ambao bado hawajafikishwa mahakamani, wakiwa kwenye maandamano hayo,licha ya kutolewa tamko la kuwataka kutawanyika...waligoma kutii amri hiyo na kuendelea na maandamano na kusababisha kifo cha Aquilina Akwkilina kusababisha askari wawili kujeruhiwa kutokana na mkusanyiko huo.
Katika shtaka la tatu imedaiwa Februari 16, mwaka huu katika viwanja vya Buibui wilayani Kinondoni, jijini mshtakiwa Mbowe peke yake wakati akihutubia wananchi wa jimbo hilo alihamasisha chuki isivyohalali kwa kutoa matamshi ya kuhamasisha chuki maneno ambayo yalipelekea chuki mioyoni mwa wana jamii wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
KUSOMOA ZAIDI BOFYA HAPA

Hivyo makala Mbowe, vigogo Chadema wafikishwa Mahakama ya kisutu,wanakabiliwa na mashtaka nane likiwemo la uchochezi na uasi.
yaani makala yote Mbowe, vigogo Chadema wafikishwa Mahakama ya kisutu,wanakabiliwa na mashtaka nane likiwemo la uchochezi na uasi. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mbowe, vigogo Chadema wafikishwa Mahakama ya kisutu,wanakabiliwa na mashtaka nane likiwemo la uchochezi na uasi. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/mbowe-vigogo-chadema-wafikishwa.html
0 Response to "Mbowe, vigogo Chadema wafikishwa Mahakama ya kisutu,wanakabiliwa na mashtaka nane likiwemo la uchochezi na uasi."
Post a Comment