Loading...

CHUMVI, CHOKAA ZINAWEZA KUITAJIRISHA KIGOMA - NYONGO

Loading...
CHUMVI, CHOKAA ZINAWEZA KUITAJIRISHA KIGOMA - NYONGO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CHUMVI, CHOKAA ZINAWEZA KUITAJIRISHA KIGOMA - NYONGO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CHUMVI, CHOKAA ZINAWEZA KUITAJIRISHA KIGOMA - NYONGO
link : CHUMVI, CHOKAA ZINAWEZA KUITAJIRISHA KIGOMA - NYONGO

soma pia


CHUMVI, CHOKAA ZINAWEZA KUITAJIRISHA KIGOMA - NYONGO


Na Veronica Simba – Kigoma 

Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo, amesema kwamba ikiwa wananchi wa Kigoma watatumia vyema fursa za upatikanaji wa Madini ya Chumvi na Chokaa, zilizopo katika Mkoa huo, wanaweza kutajirika. 

Akihitimisha ziara yake katika Mkoa huo, jana Machi 3, baada ya kutembelea Migodi mbalimbali ya Madini ya Chokaa na Chumvi, Nyongo aliwaeleza waandishi wa habari kuwa upatikanaji wa Chumvi na Chokaa ni neema kwa wananchi hao kutokana na uhitaji wake mkubwa katika maisha ya kila siku. 

“Ni fursa kubwa sana kwa wananchi wa Kigoma. Wasidhani kwamba fursa iliyopo hapa ni ya uvuvi na mawese peke yake; wanaweza kuwa matajiri wakubwa kupitia Madini ya Chokaa na Chumvi.” 

Akifafanua zaidi, Nyongo alisema kuwa, katika siku mbili za ziara yake mkoani Kigoma, ameshuhudia maeneo mengi yenye Chokaa ya kutosha na kwamba uzalishaji wake ni rahisi sana kwani kinachohitajika ni kuyachoma mawe husika na kusaga; basi. 

Akizungumzia upande wa Chumvi, alisema kuwa, Mgodi wa kuzalisha Chumvi wa Nyanza, uliopo Uvinza unafanya kazi nzuri katika uzalishaji lakini kwa bahati mbaya asilimia 70 ya bidhaa wanayozalisha, huiuza nje ya nchi hususan katika nchi jirani za Kongo na Burundi. 
Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo na Ujumbe wake, akikagua maeneo mbalimbali ya Mgodi wa Chumvi wa Nyanza ulioko Uvinza (Nyanza Salt Mines), wakati wa ziara yake ya kazi mkoani Kigoma, Machi 3 Mwaka huu.
Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo na Ujumbe wake, akikagua maeneo mbalimbali ya Mgodi wa Chumvi wa Nyanza ulioko Uvinza (Nyanza Salt Mines), wakati wa ziara yake ya kazi mkoani Kigoma, Machi 3 Mwaka huu. 
Mmoja wa wafanyakazi katika Mgodi wa Chumvi wa Nyanza, ulioko Uvinza (Nyanza Salt Mines), akifunga Mifuko ya Chumvi tayari kupelekwa Sokoni kwa ajili ya kuuzwa. Picha hii ilipigwa wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo (hayupo pichani), Mgodini hapo, Machi 3 Mwaka huu.
Shughuli za uchakataji chumvi zikiendelea katika Mgodi wa Chumvi wa Nyanza ulioko Uvinza (Nyanza Salt Mine), siku Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo (hayupo pichani), alipotembelea Mgodi huo akiwa katika ziara ya kazi, Machi 3 Mwaka huu.



Hivyo makala CHUMVI, CHOKAA ZINAWEZA KUITAJIRISHA KIGOMA - NYONGO

yaani makala yote CHUMVI, CHOKAA ZINAWEZA KUITAJIRISHA KIGOMA - NYONGO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CHUMVI, CHOKAA ZINAWEZA KUITAJIRISHA KIGOMA - NYONGO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/chumvi-chokaa-zinaweza-kuitajirisha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "CHUMVI, CHOKAA ZINAWEZA KUITAJIRISHA KIGOMA - NYONGO"

Post a Comment

Loading...