Loading...

DKT. MIPANGO AKUTANA NA MKURUGENZI WA UCHUMI WA BENKI YA DUNIA

Loading...
DKT. MIPANGO AKUTANA NA MKURUGENZI WA UCHUMI WA BENKI YA DUNIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DKT. MIPANGO AKUTANA NA MKURUGENZI WA UCHUMI WA BENKI YA DUNIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DKT. MIPANGO AKUTANA NA MKURUGENZI WA UCHUMI WA BENKI YA DUNIA
link : DKT. MIPANGO AKUTANA NA MKURUGENZI WA UCHUMI WA BENKI YA DUNIA

soma pia


DKT. MIPANGO AKUTANA NA MKURUGENZI WA UCHUMI WA BENKI YA DUNIA

Na Benny Mwaipaja, WFM
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Uchumi Mpana, Biashara na Uwekezaji wa Benki ya Dunia, Dkt. Felipe Jaramilo katika ofisi za  Wizara ya Fedha na Mipango Dar es Salaam.

Katika kikao hicho, Waziri wa Fedha na Mipango aliishukuru Benki ya Dunia kwa kuendelea kuisaidia Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Dk. John Pombe Joseph Magufuli  katika kutekeleza miradi mbalimbali ya maedeleo hapa nchini.

Dkt. Mpango ameeleza kuwa uchumi wa nchi umeendelea kukua kwa kiwango cha  kati ya asilimia 6-7 kwa muda na hivyo kuiwezesha Serikali kuendelea na utoaji wa huduma za jamii na kuwekeza katika miradi mbalimbali ya maendeleo.

Dkt. Mpango ameeleza kuwa  pomaja na nia ya  kuendeleza mafanikio mazuri yaliyopatikana katika awamu za Serikali zilizopita, Serikali ya Awamu ya Tano ya Dkt. John Pombe Joseph Magufuli imedhamiria kwa dhati kujenga uchumi imara kwa kuendeleza viwanda na kuweka mazingira mazuri ya biashara ili kuvutia wawekezaji wa ndani na wale wa nje   kuja kuwekeza nchini , kujenga miundombinu  ya barabara, reli, umeme , viwanja vya ndege na kuongeza uwekezaji katika utoaji wa huduma za jamii kama vile elimu, afya na maji.
 Mkurugenzi wa Uchumi Jumla, Biashara na Uwekezaji, Dkt. Felipe Jaramilo akifafanua jambo katika kikao na Waziri wa Fedha na Mipango kilichofanyika Jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango akizungumza na ujumbe wa Mkurugenzi wa Uchumi jumla, Biashara na Uwekezaji (hawapo pichani), katika kikao kilichofanyika Wizara ya Fedha na Mipango Jijini Dar es Salaam.
 Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw.  Doto James akisisitiza jambo katika kikao kati ya Waziri wa Fedha na Mipango na Mkurugenzi wa Uchumi Jumla, Biashara na Uwekezaji wa Benki ya Dunia, Dkt. Felipe Jaramilo, Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango akijadiliana jambo na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania, Bi. Bella Bird na Mkurugenzi wa Uchumi, Biashara na Uwekezaji, Dkt. Felipe Jaramilo, mara baada ya kikao kilichofanyika Wizara ya Fedha na Mipango Jijini Dar es Salaam.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA 


Hivyo makala DKT. MIPANGO AKUTANA NA MKURUGENZI WA UCHUMI WA BENKI YA DUNIA

yaani makala yote DKT. MIPANGO AKUTANA NA MKURUGENZI WA UCHUMI WA BENKI YA DUNIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DKT. MIPANGO AKUTANA NA MKURUGENZI WA UCHUMI WA BENKI YA DUNIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/dkt-mipango-akutana-na-mkurugenzi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DKT. MIPANGO AKUTANA NA MKURUGENZI WA UCHUMI WA BENKI YA DUNIA"

Post a Comment

Loading...