Loading...
title : DUNIA YAMPOTEZA FARU MWEUPE ALIYESALIA
link : DUNIA YAMPOTEZA FARU MWEUPE ALIYESALIA
DUNIA YAMPOTEZA FARU MWEUPE ALIYESALIA
Na Leandra Gabriel,Globu ya jamii
FARU dume mweupe maarufu kama Sudan amefariki akiwa na umri wa miaka 45.
Imeelezwa kuwa kifo chake kilisababishwa na matatizo ya kiafya hasa umri wake ambapo ilisababisha kudhoofu.Hadi kifo kinamkuta Sudan alikuwa chini ya ulinzi mkali dhidi wa majangili.
Jumanne wiki iliyopita ilitangazwa kuwa hali ya Sudan sio nzuri na amekuwa chini ya uangalizi maalumu katika hifadhi ya Ol Pejeta nchini Kenya.
Aidha Mwakilishi wa hifadhi ya Ol Pejeta Sampere Elodie amemuelezea Sudan kama Faru jasiri aliyekuwa mlinzi wa wenzake dhidi ya majangili mbugani hapo na aliogopwa kutokana na umbo na muonekano wake.
Aidha imeelezwa baadhi ya jeni (genetics) zake zimeweza kuhifadhiwa na zawezwa kupandikizwa kwa mmoja wa faru aliowaacha (Najin) kupitia seli ili kuweza kupata faru wa aina yake tena.
Faru Sudan ameacha faru jike wawili wa aina yake (mtoto na mjukuu) maarufu kama Najin na Fatu ambaye ni tasa.
Hivyo makala DUNIA YAMPOTEZA FARU MWEUPE ALIYESALIA
yaani makala yote DUNIA YAMPOTEZA FARU MWEUPE ALIYESALIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DUNIA YAMPOTEZA FARU MWEUPE ALIYESALIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/dunia-yampoteza-faru-mweupe-aliyesalia.html
0 Response to "DUNIA YAMPOTEZA FARU MWEUPE ALIYESALIA"
Post a Comment