Loading...
title : ESI YA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI AVEVA,KABURU KUANZA KUSIKILIZWA APRILI 5
link : ESI YA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI AVEVA,KABURU KUANZA KUSIKILIZWA APRILI 5
ESI YA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI AVEVA,KABURU KUANZA KUSIKILIZWA APRILI 5
Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii
UPELELEZI katika kesi ya utakatishaji fedha, dola za Marekani 300,000 inayomkabili Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva na Makamu wake Godfrey Nyange, maarufu kama Kaburu, umekamilika na itaanza kusikilizwa Aprili 5 mwaka huu.
Wakili wa Serikali, Nassoro Katuga ameeleza hayo leo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba kesi hiyo ilipokuja kwa kutajwa.
Katuga aliiambia Mahakama kuwa mshtakiwa Aveva hayupo mahakamani hapo kwa kuwa ni mgonjwa amelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Baada ya taarifa hiyo, Wakili anayewatetea washtakiwa hao,Steven Mwakibolwa aliiambia Mahakama kuwa wapo tayari kuendelea na kwamba hali ya Aveva inaimarika ila siyo nzuri.
Hivyo makala ESI YA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI AVEVA,KABURU KUANZA KUSIKILIZWA APRILI 5
yaani makala yote ESI YA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI AVEVA,KABURU KUANZA KUSIKILIZWA APRILI 5 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ESI YA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI AVEVA,KABURU KUANZA KUSIKILIZWA APRILI 5 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/esi-ya-utakatishaji-fedha-inayomkabili.html
0 Response to "ESI YA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI AVEVA,KABURU KUANZA KUSIKILIZWA APRILI 5"
Post a Comment