Loading...

RAIS MAGUFULI, WAZIRI WA ULINZI WA ISRAEL WAFANYA MAZUNGUMZO IKULU

Loading...
RAIS MAGUFULI, WAZIRI WA ULINZI WA ISRAEL WAFANYA MAZUNGUMZO IKULU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS MAGUFULI, WAZIRI WA ULINZI WA ISRAEL WAFANYA MAZUNGUMZO IKULU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS MAGUFULI, WAZIRI WA ULINZI WA ISRAEL WAFANYA MAZUNGUMZO IKULU
link : RAIS MAGUFULI, WAZIRI WA ULINZI WA ISRAEL WAFANYA MAZUNGUMZO IKULU

soma pia


RAIS MAGUFULI, WAZIRI WA ULINZI WA ISRAEL WAFANYA MAZUNGUMZO IKULU


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Ulinzi wa Israel Avigdor Lieberman mara baada ya kuwasili Ikulu kwa ajili ya mazungumzo.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Ulinzi wa Israel Avigdor Lieberman Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika kikao na ujumbe kutoka nchini Israel uliokuwa ukiongozwa na Waziri wa Ulinzi wa Israel Avigdor Lieberman Ikulu jijini Dar es Salaam.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Waziri wa Ulinzi wa Israel Avigdor Lieberman wa kwanza (kushoto kwake) Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi wa nne kutoka (kulia) Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Florence Turuka wa kwanza kushoto aliyesimama mstari wa nyuma pamoja na Viongozi wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama pamoja na makamanda mbalimbali kutoka makao makuu ya Jeshi.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala RAIS MAGUFULI, WAZIRI WA ULINZI WA ISRAEL WAFANYA MAZUNGUMZO IKULU

yaani makala yote RAIS MAGUFULI, WAZIRI WA ULINZI WA ISRAEL WAFANYA MAZUNGUMZO IKULU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI, WAZIRI WA ULINZI WA ISRAEL WAFANYA MAZUNGUMZO IKULU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/rais-magufuli-waziri-wa-ulinzi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS MAGUFULI, WAZIRI WA ULINZI WA ISRAEL WAFANYA MAZUNGUMZO IKULU"

Post a Comment

Loading...