Loading...

KAMATI YA BUNGE MASUALA YA UKIMWI,DAWA ZAKULEVYA YATEMBELEA WATU WANAOISHI NA VVU MBOZI

Loading...
KAMATI YA BUNGE MASUALA YA UKIMWI,DAWA ZAKULEVYA YATEMBELEA WATU WANAOISHI NA VVU MBOZI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMATI YA BUNGE MASUALA YA UKIMWI,DAWA ZAKULEVYA YATEMBELEA WATU WANAOISHI NA VVU MBOZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMATI YA BUNGE MASUALA YA UKIMWI,DAWA ZAKULEVYA YATEMBELEA WATU WANAOISHI NA VVU MBOZI
link : KAMATI YA BUNGE MASUALA YA UKIMWI,DAWA ZAKULEVYA YATEMBELEA WATU WANAOISHI NA VVU MBOZI

soma pia


KAMATI YA BUNGE MASUALA YA UKIMWI,DAWA ZAKULEVYA YATEMBELEA WATU WANAOISHI NA VVU MBOZI

 Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Capt. Chiku Galawa (kulia) akizungumza na Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya kulevya, Mhe. Venance Mwamoto (kushoto) na Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mhe. Dkt. Jasmine Tisekwa Bunga (katikati) pale kamati hiyo ilipomtembelea ofisini kwake kabla ya kuanza ziara ya kikazi ya kutembelea konga ya watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU) katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, Mkoa wa Songwe.
 Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Capt. Chiku Galawa (kulia) akizungumza na Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya kulevya, Baraza la Taifa la Watu Wanaoishi na VVU (NACOPHA) pamoja na JSI, iliyoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mhe. Dkt. Jasmine Tiisekwa Bunga (wa pili kushoto) kabla ya kuanza ziara ya kikazi ya kutembelea konga ya watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU) katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, Mkoa wa Songwe.
 Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya kulevya, Mhe. Zaynab Vulu (kulia) akisalimiana na wana konga ya watu wanaoishi na VVU katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, Mkoa wa Songwe pale kamati hiyo ilipowatembelea katika ziara yake ya kikazi.

Makamu Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya kulevya, Mhe. Dkt. Jasmine Tiisekwa Bunga (aliesimama)akizungumza na wana konga wanaoishi na VVU katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, Mkoa wa Songwe pale kamati hiyo ilipotembelea konga hiyo kwa ajili ya kuamasisha utumiaji wa dawa na jinsi ya kujikinga na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU). (PICHA NA OFISI YA BUNGE)


Hivyo makala KAMATI YA BUNGE MASUALA YA UKIMWI,DAWA ZAKULEVYA YATEMBELEA WATU WANAOISHI NA VVU MBOZI

yaani makala yote KAMATI YA BUNGE MASUALA YA UKIMWI,DAWA ZAKULEVYA YATEMBELEA WATU WANAOISHI NA VVU MBOZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI YA BUNGE MASUALA YA UKIMWI,DAWA ZAKULEVYA YATEMBELEA WATU WANAOISHI NA VVU MBOZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/kamati-ya-bunge-masuala-ya-ukimwidawa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMATI YA BUNGE MASUALA YA UKIMWI,DAWA ZAKULEVYA YATEMBELEA WATU WANAOISHI NA VVU MBOZI"

Post a Comment

Loading...