Loading...

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YATEMBELEA MGODI WA SEKENKE

Loading...
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YATEMBELEA MGODI WA SEKENKE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YATEMBELEA MGODI WA SEKENKE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YATEMBELEA MGODI WA SEKENKE
link : KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YATEMBELEA MGODI WA SEKENKE

soma pia


KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YATEMBELEA MGODI WA SEKENKE

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Kangi Lugola (katikati) akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira Mhe. Murad SadickA (Kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Iramba Bw. Emmanuel Lwehaula wakati wa ziara ya kutembelea mgodi wa Sekenke one Mkoani Singida.
Sehemu ya Waheshimiwa Wabunge wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira wakiangalia zoezi la uchenjuaji wa dhahabu kwa kutumia zebaki mara baada ya kutembelea mgodi wa Sekenke one Mkoani Singida.
Sehemu ya wachimbaji wadogo wadogo wa Sekenke one wakimsikiliza Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Kangi Lugola (hayupo pichani) alipopata fursa ya kuzungumza nao na kusisitiza suala la usafi wa mazingira.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Kangi Lugola akifafanua vifungu vya Sheria ya Mazingira ya Mwaka 2004 kwa watendaji wa Wilaya ya Iramba na kuwataka kuisimamia ili kudhibiti vitendo vya uchafuzi wa Mazingira.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Kangi Lugola akisalimiana na Bw. Dotto Roman Selasini Afisa Uhamiaji wa Wilaya ya Iramba mara baada ya kuwasili katika Mgodi wa Senkenke One ulipo katika Kijiji cha Nkonkilangi, Kata ya Ntwike, Tarafa ya Shelui, Wilaya ya Iramba akiongozana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira kutembelea mgodi huo kwa lengo la kujionea hali ya mazingira mgodini hapo.


Hivyo makala KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YATEMBELEA MGODI WA SEKENKE

yaani makala yote KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YATEMBELEA MGODI WA SEKENKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YATEMBELEA MGODI WA SEKENKE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/kamati-ya-kudumu-ya-bunge-yatembelea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YATEMBELEA MGODI WA SEKENKE"

Post a Comment

Loading...