Loading...

MAKONDA: WALIOZILALAMIKIA TAASISI ZA KIFEDHA WAJE OFISINI KWANGU KESHO

Loading...
MAKONDA: WALIOZILALAMIKIA TAASISI ZA KIFEDHA WAJE OFISINI KWANGU KESHO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKONDA: WALIOZILALAMIKIA TAASISI ZA KIFEDHA WAJE OFISINI KWANGU KESHO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKONDA: WALIOZILALAMIKIA TAASISI ZA KIFEDHA WAJE OFISINI KWANGU KESHO
link : MAKONDA: WALIOZILALAMIKIA TAASISI ZA KIFEDHA WAJE OFISINI KWANGU KESHO

soma pia


MAKONDA: WALIOZILALAMIKIA TAASISI ZA KIFEDHA WAJE OFISINI KWANGU KESHO

Na Emmanuel Masaka,Globu ya Jamii

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewatangazia wananchi wote ambao wamewasilisha malalamiko kwenye ofisi yake dhidi ya taasisi za fedha na benki kufika ofisini kwake kesho kuanzia saa mbili asubuhi.

Taarifa yake kwa vyombo vya habari ambayo ameitoa leo, Makonda amesema wananchi hao wafike kwa ajili ya kupatiwa majibu yao na kufafanua walengwa ni wale waliosikilizwa na jopo la wataalamu na wanasheria wakati wa wiki ya RC Makonda kutoa msaada wa kisheria kwa wanyonge iliyofanyika January 29 hadi February 03 mwaka huu.

.Mchakato wa kutoa majibu unaendelea ambapo leo ilikuwa ni zamu ya wananchi wenye malalamiko dhidi ya kazi na ajira pamoja na mirathi.

"Kilichofanyika leo na kitakachofanyika kesho ni mwendelezo wa kutoa majibu kwa wananchi wa Dar es Salaam ambao wamekimbilia kwa Mkuu wa Mkoa ili kupata msaada wa kisheria,"imesema sehemu ya taarifa hiyo.
RC Paul Makonda.


Hivyo makala MAKONDA: WALIOZILALAMIKIA TAASISI ZA KIFEDHA WAJE OFISINI KWANGU KESHO

yaani makala yote MAKONDA: WALIOZILALAMIKIA TAASISI ZA KIFEDHA WAJE OFISINI KWANGU KESHO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKONDA: WALIOZILALAMIKIA TAASISI ZA KIFEDHA WAJE OFISINI KWANGU KESHO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/makonda-waliozilalamikia-taasisi-za.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAKONDA: WALIOZILALAMIKIA TAASISI ZA KIFEDHA WAJE OFISINI KWANGU KESHO"

Post a Comment

Loading...