Loading...
title : TANZIA: Munga Shabani Mtengeti afariki dunia
link : TANZIA: Munga Shabani Mtengeti afariki dunia
TANZIA: Munga Shabani Mtengeti afariki dunia
Bi Mwatumu Jasmine Malale wa Regent Estate Mikocheni Dar es Salaam anasikitika kutangaza kifo cha mdogo wake Munga Shabani Mtengeti kilichotokea nyumbani kwake Mlingotini Close Regent Estate jijini Dar es salaam jana tarehe 10/03/2018.
Mazishi yanatarajia kufanyika siku ya Jumanne baada ya salatul dhuhur nyumbani kwake Bi. Mwatumu Jasmine Malale. Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki popote pale walipo.
Inna lillahi wa inna illahi rajiun
Hivyo makala TANZIA: Munga Shabani Mtengeti afariki dunia
yaani makala yote TANZIA: Munga Shabani Mtengeti afariki dunia Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANZIA: Munga Shabani Mtengeti afariki dunia mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/tanzia-munga-shabani-mtengeti-afariki.html
0 Response to "TANZIA: Munga Shabani Mtengeti afariki dunia"
Post a Comment