Loading...
title : RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA UYOVU-BWANGA KM 45 ILIYOKAMILIKA KUJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI
link : RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA UYOVU-BWANGA KM 45 ILIYOKAMILIKA KUJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI
RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA UYOVU-BWANGA KM 45 ILIYOKAMILIKA KUJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi wengine wakivuta utepe kuashiria ufunguzi wa Barabara ya Uyovu- Bwanga- Km 45 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami katika eneo la Uyovu mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Barabara ya Uyovu- Bwanga- Km 45 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami katika eneo la Uyovu mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mamia ya wananchi wa Uyovu mkoani Geita kabla ya kufungua rasmi wa Barabara ya Uyovu- Bwanga- Km 45 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wanakwaya ya Baraka wakati alipowasili Uyovu kwa ajili ya ufunguzi wa barabara ya Uyovu- Bwanga- Km 45 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami.
Sehemu ya Barabara ya Uyovu- Bwanga- Km 45 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wananchi wa Uyovu mara baada ya kufungua Barabara ya Uyovu- Bwanga- Km 45 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami. PICHA NA IKULU.
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA UYOVU-BWANGA KM 45 ILIYOKAMILIKA KUJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA UYOVU-BWANGA KM 45 ILIYOKAMILIKA KUJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA UYOVU-BWANGA KM 45 ILIYOKAMILIKA KUJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/rais-dkt-magufuli-afungua-barabara-ya.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA UYOVU-BWANGA KM 45 ILIYOKAMILIKA KUJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI"
Post a Comment