Loading...

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WATENDAJI WAKUU WA KIWANDA CHA BIA TANZANIA BREWERIES LIMITED (TBL) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Loading...
RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WATENDAJI WAKUU WA KIWANDA CHA BIA TANZANIA BREWERIES LIMITED (TBL) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WATENDAJI WAKUU WA KIWANDA CHA BIA TANZANIA BREWERIES LIMITED (TBL) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WATENDAJI WAKUU WA KIWANDA CHA BIA TANZANIA BREWERIES LIMITED (TBL) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
link : RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WATENDAJI WAKUU WA KIWANDA CHA BIA TANZANIA BREWERIES LIMITED (TBL) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

soma pia


RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WATENDAJI WAKUU WA KIWANDA CHA BIA TANZANIA BREWERIES LIMITED (TBL) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Ricardo Tadeu Rais wa Kampuni ya Anheuser-Busch InBev katika ukanda wa Afrika ambao ni Wanahisa wakuu wa Kampuni ya Bia ya Tanzania Breweries Ltd kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Phillip Mpango kabla ya kuanza kikao chake na Rais wa Kampuni ya Anheuser-Busch InBev Ricardo Tadeu katika ukanda wa Afrika ambao ni Wanahisa wakuu wa Kampuni ya Bia ya Tanzania Breweries Ltd ambayo inatarajia kujenga kiwanda kikubwa cha Bia mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo mara baada ya kikao chake na ujumbe wa Kampuni ya Bia ya Tanzania Breweries Ltd uliokuwa ukiongozwa na Rais wa Kampuni ya Anheuser-Busch InBev Ricardo Tadeu ambao ni wanahisa wakuu wa Kampuni hio ya TBL.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Kampuni ya Anheuser-Busch InBev Ricardo Tadeu mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mmoja wa Wakurugenzi wa TBL katika ukanda wa Afrika Mashariki Roberto Jarrin mara baada ya mazungumzo na ujumbe huo.
Rais wa Kampuni ya Anheuser-Busch InBev Ricardo Tadeu ambao ni wanahisa wakuu wa Kampuni ya TBL akizungumza na wanahabari kuhusu TBL ambayo itajenga kiwanda kikubwa cha Bia mkoani Dodoma.PICHA NA IKULU


Hivyo makala RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WATENDAJI WAKUU WA KIWANDA CHA BIA TANZANIA BREWERIES LIMITED (TBL) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

yaani makala yote RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WATENDAJI WAKUU WA KIWANDA CHA BIA TANZANIA BREWERIES LIMITED (TBL) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WATENDAJI WAKUU WA KIWANDA CHA BIA TANZANIA BREWERIES LIMITED (TBL) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/rais-magufuli-akutana-na-kufanya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WATENDAJI WAKUU WA KIWANDA CHA BIA TANZANIA BREWERIES LIMITED (TBL) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM"

Post a Comment

Loading...