REUBEN BULUGU NDIYE MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 10 KTK DROO YA “DAKA MKWANJA” - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa REUBEN BULUGU NDIYE MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 10 KTK DROO YA “DAKA MKWANJA”, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
REUBEN BULUGU NDIYE MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 10 KTK DROO YA “DAKA MKWANJA”
Bw. Muganyizi Bisheko Meneja wa Masoko Utafiti na Maendeleo Benki ya BOA akikabidhi zawadi ya shilingi milioni 10 kwa Bw. Reuben Bulugu Kinamhala mshindi wa Bahati nasibu ya “Daka Mkwanja” iliyoendeshwa na Benki hiyo kwa muda wa miezi minne kwa wateja wake kuweka fedha kwenye akaunti zao na kutunza kiwango kisichopungua shilingi milioni moja , Bw. Reuben Bulugu ambaye ni mtumishi katika kanisa ni mteja wa benki hiyo katika tawi la Mtoni Temeke jijini Dar es salaam.
Katika picha kulia ni Mke wake Jane Bulugu akishiriki kupokea kiasi hicho cha fedha na kutoka kulia wanaoshiriki kukabidhi fedha hizo kwa mshindi ni Linda Mario Mkuu wa uratibu wa Mauzo na Nimael Mdeme Meneja wa Matawi ya Benki ya Boa Kanda ya Dar es salaam na Zanzibar.
Bw. Muganyizi Bisheko Meneja wa Masoko Utafiti na Maendeleo Benki ya BOA akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wenzake pamoja na washindi wa zawadi ya shilingi milioni 10 mara baada ya kukabidhi zawadi hiyo.
Hivyo makala REUBEN BULUGU NDIYE MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 10 KTK DROO YA “DAKA MKWANJA”
yaani makala yote REUBEN BULUGU NDIYE MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 10 KTK DROO YA “DAKA MKWANJA” Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala REUBEN BULUGU NDIYE MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 10 KTK DROO YA “DAKA MKWANJA” mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/reuben-bulugu-ndiye-mshindi-wa-shilingi.html
0 Response to "REUBEN BULUGU NDIYE MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 10 KTK DROO YA “DAKA MKWANJA”"
Post a Comment