Loading...
title : DCB YAWASHAURI WABUNGE KUNUNUA HISA ZA BENKI HIYO
link : DCB YAWASHAURI WABUNGE KUNUNUA HISA ZA BENKI HIYO
DCB YAWASHAURI WABUNGE KUNUNUA HISA ZA BENKI HIYO
BENKI ya Biashara ya DCB ikiongozwa na Mkurugenzi Mkuu, Godfrey Ndalahwa, wametembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma ikiwa ni muendelezo kampeni ya kuhamasisha uuzaji wa hisa zake kwa Wabunge na watanzania wote.
Akizungumza wakati akimtambulisha Mkurugenzi mtendaji huyo pamoja na ujumbe wake, Spika wa Bunge Job Ndugai aliwatangazia wabunge hao taarifa za uzinduzi huo na ya kwamba hisa zinaweza kununuliwa katika matawi ya benki hiyo, mawakala wa Solo la Hisa (DSE) kwa bei pungufu ya shs 265 na ya kwamba benki hiyo sasa ni benki ya biashara.
DCB ilizindua zoezi la kuuza hisa zake Novemba 12 mwaka huu huku mwanahisa namba moja Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin William Mkapa akiwa mteja wa kwanza kujitokeza kununua hisa.

Hivyo makala DCB YAWASHAURI WABUNGE KUNUNUA HISA ZA BENKI HIYO
yaani makala yote DCB YAWASHAURI WABUNGE KUNUNUA HISA ZA BENKI HIYO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DCB YAWASHAURI WABUNGE KUNUNUA HISA ZA BENKI HIYO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/dcb-yawashauri-wabunge-kununua-hisa-za.html
0 Response to "DCB YAWASHAURI WABUNGE KUNUNUA HISA ZA BENKI HIYO"
Post a Comment