Loading...
title : TANZIA: MKURUGENZI MWENDESHAJI WA AICC NDUGU E. KAAYA AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI
link : TANZIA: MKURUGENZI MWENDESHAJI WA AICC NDUGU E. KAAYA AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI
TANZIA: MKURUGENZI MWENDESHAJI WA AICC NDUGU E. KAAYA AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI
![]() |
Bibi Eliatirisha Teveli Sumari |
Mkurugenzi Mwendeshaji wa AICC Ndugu Elishilia Kaaya anasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi Bibi ELIATIRISHA TEVELI SUMARI kilichotokea katika Hospitali ya AICC jijini Arusha leo.
Mipango ya Mazishi inaendelea nyumbani kwa marehemu kijijini Nguruma, wilayani Arumeru.
Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki popote pale walipo.
MOLA AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI - AMEN
Hivyo makala TANZIA: MKURUGENZI MWENDESHAJI WA AICC NDUGU E. KAAYA AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI
yaani makala yote TANZIA: MKURUGENZI MWENDESHAJI WA AICC NDUGU E. KAAYA AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANZIA: MKURUGENZI MWENDESHAJI WA AICC NDUGU E. KAAYA AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/tanzia-mkurugenzi-mwendeshaji-wa-aicc.html
0 Response to "TANZIA: MKURUGENZI MWENDESHAJI WA AICC NDUGU E. KAAYA AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI"
Post a Comment