Loading...

Airtel kuviwezesha vikundi vya kinamama kujiendesha kidigitali

Loading...
Airtel kuviwezesha vikundi vya kinamama kujiendesha kidigitali - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Airtel kuviwezesha vikundi vya kinamama kujiendesha kidigitali, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Airtel kuviwezesha vikundi vya kinamama kujiendesha kidigitali
link : Airtel kuviwezesha vikundi vya kinamama kujiendesha kidigitali

soma pia


Airtel kuviwezesha vikundi vya kinamama kujiendesha kidigitali

· Zaidi ya vikundi vya wajasiriamali 100 kunufaika na huduma ya Timiza Vikoba na Mafunzo ya Tehama

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imeviasa vikundi vya kina mama wajasiriamali kutumia fursa wanazozitoa kupitia bidhaa na huduma mbalimbali za kibunifu ikiwemo Timiza Vikoba ili kujiendesha kidigital na kukuza biashara zao. 
 

Hayo yalisemwa na meneja miradi wa Airtel Bi Jane Matinde wakati wa mkutano wa viongozi wa vikundi vya kina mama wajasiriamali jijini Dar uliondaliwa na Star Women group.

Akitoa ufafanuzi wa kina Matinde alisema “Timiza vikoba ni huduma inayowawezesha vikundi kuweka na kuchukua mikopo kupitia simu zao za mkononi kwa kupitia huduma ya Airtel Money, huduma inayotolewa na Airtel kwa kushirikiana na benki ya Maendeleo.

Timiza Vikoba inaviwezesha vikundi vya kuanzia watu 5 hadi 50 kujisaji na kufungua akaunti ili kufaidika na huduma ya kutuma michango yao ya kila wiki, kuomba mikopo na kufanya marejesho ya mikopo wakiwa nyumbani au mahali popote pale kwa usalama na urahisi zaidi masaa 24 siku saba za wiki kwa gharama nafuu”.

Matinde aliwashauri wanawake hao wajarisiamali kutumia njia za teknologia ya kisasa katika kufanya miamala ya kifedha kwa usalama, uhakika na urahisi zaidi kupitia huduma ya Timiza Vikoba “ huduma hii itawarahisishia sana kutuma pesa za michango na marejesho kupitia simu, itaokoa muda wa kukutana na kuweka uwazi kwani kila mwana kikundi anapoweka pesa fedha au kuomba mkopo kila moja anapata taarifa hapohapo nakuridhia, nawahimiza mchangamkie fursa hii.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala Airtel kuviwezesha vikundi vya kinamama kujiendesha kidigitali

yaani makala yote Airtel kuviwezesha vikundi vya kinamama kujiendesha kidigitali Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Airtel kuviwezesha vikundi vya kinamama kujiendesha kidigitali mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/airtel-kuviwezesha-vikundi-vya-kinamama.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Airtel kuviwezesha vikundi vya kinamama kujiendesha kidigitali"

Post a Comment

Loading...