Loading...

BUNGE LAPITISHA BILLIONI 898 BAJETI YA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO

Loading...
BUNGE LAPITISHA BILLIONI 898 BAJETI YA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BUNGE LAPITISHA BILLIONI 898 BAJETI YA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BUNGE LAPITISHA BILLIONI 898 BAJETI YA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO
link : BUNGE LAPITISHA BILLIONI 898 BAJETI YA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO

soma pia


BUNGE LAPITISHA BILLIONI 898 BAJETI YA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,
Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu
Na Mwandishi Wetu Dodoma
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia na kupitisha jumla ya Shillingi Billioni 898 kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa mwaka wa fedha 2018/2019.
Wakijibu hoja mbalimbali za wabunge kuhusu Bajeti ya Wizara kwa mwaka wa fedha 2018/2019 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu amesema Wizara itaendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu Ukatili wa kijinsia ikiwemo kutoa elimu kwa wazazi ili wawafundishe watoto wao.
Pia Mhe. Ummy Mwalimu amesisitiza kuwa kwa somo la elimu ya uzazi kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ili kuwapa uelewa wanafunzi ili waweze kujikinga na kujiepusha na vitendo vya ukatili wa kijinsia.
Kwa upande wake Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile amesema kuwa Serikali imefanya uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) nchini kwa kuyahakiki na kuyafuta Mashirika yote ambayo yamekosa sifa na kutofuata utaratibu na Sheria za nchi.
Dkt. Ndugulile ameongeza kuwa Serikali inaendelea kutoa huduma kwa wazee nchini kwa kuboresha makazi ya kulea wazee wasiojiweza, kuanzisha na kuratibu  madirisha maalum ya kutoa huduma za afya kwa wazee katika hospitali na kutoa kadi za matibabu kwa wazee hao.    
Bunge limepitisha Bajeti hii ikiwa imejumuisha fedha kwa ajili ya matumizi ya kawaida na matumizi kwa ajili ya miradi ya maendeleo.


Hivyo makala BUNGE LAPITISHA BILLIONI 898 BAJETI YA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO

yaani makala yote BUNGE LAPITISHA BILLIONI 898 BAJETI YA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BUNGE LAPITISHA BILLIONI 898 BAJETI YA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/bunge-lapitisha-billioni-898-bajeti-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BUNGE LAPITISHA BILLIONI 898 BAJETI YA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO"

Post a Comment

Loading...