Loading...
title : Chuo cha Kodi Chapongezwa Kuwajengea Uwezo Wanafunzi Wake
link : Chuo cha Kodi Chapongezwa Kuwajengea Uwezo Wanafunzi Wake
Chuo cha Kodi Chapongezwa Kuwajengea Uwezo Wanafunzi Wake

Naibu Kamishna wa Kodi za Ndani kutka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Michael Muhoja akizungumza alipokuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya tatu ya Siku ya Ujuzi na Taaluma ya Chuo cha Kodi (ITA) yaliyofanyika chuoni hapo leo jijini Dar es Salaam. Siku hiyo ya Ujuzi na Taaluma (Career Day) inayowakutanisha wanafunzi na wadau mbalimbali ambapo wanafunzi uonyesha umahiri wao katika fani wanazosomea. Kutoka kulia ni Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo cha Kodi (ITASO), Bi. Happines Gherabaster, Kaimu Mkuu wa Chuo cha Kodi (ITA), Dkt. Lewis Ishemoi na Naibu Mkuuwa Chuo cha Kodi A
Kaimu Mkuu wa Chuo cha Kodi (ITA), Dkt. Lewis Ishemoi akizungumza wakati wa maadhimisho ya tatu ya Siku ya Ujuzi na Taaluma ya Chuo cha Kodi (ITA) yaliyofanyika chuoni hapo leo jijini Dar es Salaam. Siku hiyo ya Ujuzi na Taaluma (Career Day) inayowakutanisha wanafunzi na wadau mbalimbali ambapo wanafunzi uonyesha umahiri wao katika fani wanazosomea.
Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo cha Kodi (ITASO), Bi. Happines Gherabaster akifafanua jambo wakati wa maadhimisho ya tatu ya Siku ya Ujuzi na Taaluma ya Chuo cha Kodi (ITA) yaliyofanyika chuoni hapo leo jijini Dar es Salaam. Siku hiyo ya Ujuzi na Taaluma (Career Day) inayowakutanisha wanafunzi na wadau mbalimbali ambapo wanafunzi uonyesha umahiri wao katika fani wanazosomea.
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Bi. Natalie Bouely akielezea namna anavyofurahishwa na jinsi Serikali ya Tanzania inavyoshughulikia masuala ya kodi wakati wa maadhimisho ya tatu ya Siku ya Ujuzi na Taaluma ya Chuo cha Kodi (ITA) yaliyofanyika chuoni hapo leo jijini Dar es Salaam. Siku hiyo ya Ujuzi na Taaluma (Career Day) inatwakutanisha wanafunzi na wadau mbalimbali ambapo wanafunzi uonyesha umahiri wao katika fani wanazosomea.
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Kodi wakifuatilia hutuba ya mgeni rasmi Naibu Kamishna wa Kodi za Ndani kutka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Michael Muhoja (hayupo pichani) ambaye alimwakilisha Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Charles Kichere katika maadhimisho ya tatu ya Siku ya Ujuzi na Taaluma ya Chuo cha Kodi (ITA) yaliyofanyika chuoni hapo leo jijini Dar es Salaam. Siku hiyo ya Ujuzi na Taaluma (Career Day) inatwakutanisha wanafunzi na wadau mbalimbali ambapo wanafunzi uonyesha umahiri wao katika fani wanazosomea
Hivyo makala Chuo cha Kodi Chapongezwa Kuwajengea Uwezo Wanafunzi Wake
yaani makala yote Chuo cha Kodi Chapongezwa Kuwajengea Uwezo Wanafunzi Wake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Chuo cha Kodi Chapongezwa Kuwajengea Uwezo Wanafunzi Wake mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/chuo-cha-kodi-chapongezwa-kuwajengea.html
0 Response to "Chuo cha Kodi Chapongezwa Kuwajengea Uwezo Wanafunzi Wake"
Post a Comment