Loading...
title : DIAMOND, NANDY MIKONONI MWA POLISI KWA KUSAMBAZA PICHA CHAFU MTANDAONI
link : DIAMOND, NANDY MIKONONI MWA POLISI KWA KUSAMBAZA PICHA CHAFU MTANDAONI
DIAMOND, NANDY MIKONONI MWA POLISI KWA KUSAMBAZA PICHA CHAFU MTANDAONI
Na Ripota Wetu,Dodomma
MSANII nyota katika muziki wa kizazi kipya maarufu Bongo Fleva nchini Nassib Abdul a.k.a Diamond amejikuta akiwa kwenye mikono ya Jeshi la Polisi ambapo kwa sasa anahojiwa kutokana na kusambaza picha chafu mtandaoni.
Akizungumza Dar es Saalam leo bungeni, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk.Harrson Mwakyembe amewaambia wabunge Diamond amekamatwa jana na sasa anahojiwa Polisi na baada ya hapo atafikishwa Mahakamani.
"Naomba nitoe taarifa kuna baadhi ya wasanii wetu walianza kufanya uhuni uhuni ndani ya mitandao.Jana tumemkata msanii nyota Nassib Abdul na kumpeleka Polisi na sasa anahojiwa kutokana na picha ambazo amezungusha mtandaoni.
"Pia Nandy naye apelekwe Polisi na tunaangalia namna ya wote kuwapeleka mahakamani,"amesema Waziri Dk.Mwakyembe wakati anawaambia wabunge kuhusu hatua wanazochukua kulinda maadili ya nchi yetu.
Amewataka vijana nchini kutambua mitandao si Kokoro la kupeleka uchafu wote mitandaoni na wafahamu nchi hii ina sheria zake na lazima zilindwe.
"Vijana wawe makini na matumizi ya mtandao ,hii nchi ina maadili yake na wote watakaosambaza picha chafu na mambo mengine yasiyozingatia maadili tutachukua hatua,"amesisitiza Dk.Mwakyembe.
Hivyo makala DIAMOND, NANDY MIKONONI MWA POLISI KWA KUSAMBAZA PICHA CHAFU MTANDAONI
yaani makala yote DIAMOND, NANDY MIKONONI MWA POLISI KWA KUSAMBAZA PICHA CHAFU MTANDAONI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DIAMOND, NANDY MIKONONI MWA POLISI KWA KUSAMBAZA PICHA CHAFU MTANDAONI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/diamond-nandy-mikononi-mwa-polisi-kwa.html
0 Response to "DIAMOND, NANDY MIKONONI MWA POLISI KWA KUSAMBAZA PICHA CHAFU MTANDAONI"
Post a Comment