Loading...

Hoja ya haja: Dawa ya adha ya mafuriko jijini Dar es salaam ni kuzibua njia ya maji bonde la msimbazi - Prof Tibaijuka

Loading...
Hoja ya haja: Dawa ya adha ya mafuriko jijini Dar es salaam ni kuzibua njia ya maji bonde la msimbazi - Prof Tibaijuka - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Hoja ya haja: Dawa ya adha ya mafuriko jijini Dar es salaam ni kuzibua njia ya maji bonde la msimbazi - Prof Tibaijuka, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Hoja ya haja: Dawa ya adha ya mafuriko jijini Dar es salaam ni kuzibua njia ya maji bonde la msimbazi - Prof Tibaijuka
link : Hoja ya haja: Dawa ya adha ya mafuriko jijini Dar es salaam ni kuzibua njia ya maji bonde la msimbazi - Prof Tibaijuka

soma pia


Hoja ya haja: Dawa ya adha ya mafuriko jijini Dar es salaam ni kuzibua njia ya maji bonde la msimbazi - Prof Tibaijuka


Anaandika Mama Prof. Anna Tibaijuka
Bila nidhamu ya kuheshimu Mipango miji mafuriko yatakuwa common feature ya jiji la DSM. Regrettably. Tatizo siyo mvua kubwa. Tatizo ni kuziba natural drainage system hivyo maji ya mvua kushindwa kwenda baharini.

Nilipokuwa Ardhi nilijitahidi sana kuokoa bonde la msimbazi kwa mujibu ya 1979 master plan. Call it the Nyerere Master plan. Sikufanikiwa. There was no political will for it. Bonde likaendelea kujengwa. Kwa hiyo maji hayana njia za kufika baharini. 
Mind you Bonde  la Msimbazi ndiyo njia pekee kwa maji yote yatokayo Pugu Hills Ukonga Airport  Tazara Tabata Kigogo magomeni Ilala kufika Jangwani grounds hadi salender bridge yanapoingia baharini. Pia maji kutoka ubungo Manzese Tandale magomeni Kagera  kinondoni hananasif Muhimbili  hadi jangwani njia ni hiyo tu moja.
Kwa upande wa chuo kikuu mto mbezi na mto mlalakuwa na mto Mdumbwi ( Kawe)  imejengwa na njia za maji kuifikia kuzibwa. 

You do not need to be an expert in urban planning to know that WATER FINDS ITS OWN LEVEL. ALSO TO KNOW THAT IN SOME YEARS HEAVY RAINS SHALL BE EXPERIENCED. ALL THESE THINGS ARE PREDICTABLE.

Mfano at Jangwani grounds tulisema lakini uharaka wa kukamilisha mradi wa DART uka overide any other consideration. Nilisikitika sana knowing it was a recipe for disaster lakini urban planning is a political activity. Without the support of political power, all knowledge and expertise go to waste. They cannot help much.
Nimeona nielezee hili kwa watu wanaotaka kujua kwa nini wataalam wametufikisha hapa. Sio wataalam. No interests. Na utamaduni wa kutoheshinu utaalam. Na wananchi kutaja quick solutions. 
Going forward lazima kurejea plan ya Mwalimu ya 1979. To salvage the Msimbazi Valley as THE CENTRAL CITY PARK. Waliojenga wawe resettled with compensation kama wanastahili. New developments in this valley ziwe arrested. 

Mama T in Dodoma Bungeni


Hivyo makala Hoja ya haja: Dawa ya adha ya mafuriko jijini Dar es salaam ni kuzibua njia ya maji bonde la msimbazi - Prof Tibaijuka

yaani makala yote Hoja ya haja: Dawa ya adha ya mafuriko jijini Dar es salaam ni kuzibua njia ya maji bonde la msimbazi - Prof Tibaijuka Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Hoja ya haja: Dawa ya adha ya mafuriko jijini Dar es salaam ni kuzibua njia ya maji bonde la msimbazi - Prof Tibaijuka mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/hoja-ya-haja-dawa-ya-adha-ya-mafuriko.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Hoja ya haja: Dawa ya adha ya mafuriko jijini Dar es salaam ni kuzibua njia ya maji bonde la msimbazi - Prof Tibaijuka"

Post a Comment

Loading...