Loading...
title : MAANDALIZI YA UZINDUZI WA UKUTA KUZUNGUKA MIGODI YA TANZANITE MEREARNI YAKAMILIKA
link : MAANDALIZI YA UZINDUZI WA UKUTA KUZUNGUKA MIGODI YA TANZANITE MEREARNI YAKAMILIKA
MAANDALIZI YA UZINDUZI WA UKUTA KUZUNGUKA MIGODI YA TANZANITE MEREARNI YAKAMILIKA
Waziri wa Madini Mhe. Anjellah Kairuki akifurahia jambo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Venance Mabeyo kabla ya kikao cha majumuisho kuhusu maandalizi ya uzinduzi wa ukuta kuzunguka mgodi wa Tanzanite Mirerani Mkoani Manyara unaotarajiwa kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 6 Aprili 2018.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi akipokelewa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Venance Mabeyo kabla ya kikao cha majumuisho kuhusu maandalizi ya uzinduzi wa ukuta kuzunguka mgodi wa Tanzanite Mirerani Mkoani Manyara unaotarajiwa kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 6 Aprili 2018.
PIX7.Mafundi wakiwa katika hatua za mwisho kukamilisha maandalizi ya uzinduzi wa ukuta kuzunguka mgodi wa Tanzanite Mirerani Mkoani Manyara unaotarajiwa kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 6 Aprili 2018.
Mmoja wa mafundi akiendelea na kazi ya kuandaa eneo litakapowekwa jiwe la msingi wakati wa uzinduzi wa ukuta kuzunguka mgodi wa Tanzanite Mirerani Mkoani Manyara unaotarajiwa kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 6 Aprili 2018.
Sehemu ya geti la kuingia katika eneo la mgodi wa Tanzanite kama inavyoonekana katika picha.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Hivyo makala MAANDALIZI YA UZINDUZI WA UKUTA KUZUNGUKA MIGODI YA TANZANITE MEREARNI YAKAMILIKA
yaani makala yote MAANDALIZI YA UZINDUZI WA UKUTA KUZUNGUKA MIGODI YA TANZANITE MEREARNI YAKAMILIKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAANDALIZI YA UZINDUZI WA UKUTA KUZUNGUKA MIGODI YA TANZANITE MEREARNI YAKAMILIKA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/maandalizi-ya-uzinduzi-wa-ukuta.html
0 Response to "MAANDALIZI YA UZINDUZI WA UKUTA KUZUNGUKA MIGODI YA TANZANITE MEREARNI YAKAMILIKA"
Post a Comment