Loading...
title : Meya Ilala amtembelea Balozi wa Sweden Dkt Slaa.
link : Meya Ilala amtembelea Balozi wa Sweden Dkt Slaa.
Meya Ilala amtembelea Balozi wa Sweden Dkt Slaa.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mhe. Benjamin Sitta akiwa nchini Swedeni katika manispaa ya Strangnas ambayo ni marafiki wa jiji la Dar es salaam kujifunza mambo mbalimbali ya uendeshaji wa Manispaa na Jiji,Mhe.Benjamin Sitta analiwakilisha jiji la Dar es salaam na pia alipata wasaa wa kumtembelea Ofisini kwake Balozi wa Tanzania nchini Sweden Mhe.Balozi Dkt.Slaa.
Picha ya pamoja
Hivyo makala Meya Ilala amtembelea Balozi wa Sweden Dkt Slaa.
yaani makala yote Meya Ilala amtembelea Balozi wa Sweden Dkt Slaa. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Meya Ilala amtembelea Balozi wa Sweden Dkt Slaa. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/meya-ilala-amtembelea-balozi-wa-sweden.html
0 Response to "Meya Ilala amtembelea Balozi wa Sweden Dkt Slaa."
Post a Comment