Loading...

RC TABORA AZINDUA CHANJO YA KINGA DHIDI YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI

Loading...
RC TABORA AZINDUA CHANJO YA KINGA DHIDI YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC TABORA AZINDUA CHANJO YA KINGA DHIDI YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC TABORA AZINDUA CHANJO YA KINGA DHIDI YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI
link : RC TABORA AZINDUA CHANJO YA KINGA DHIDI YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI

soma pia


RC TABORA AZINDUA CHANJO YA KINGA DHIDI YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI

 Baadhi ya wanafunzi wa kike wa Shule za Msingi na Sekondari wakiwa katika maandamano ya kuunga mkono chanjo ya kinga dhidi ya saratani ya mlango wa kikazi iliyozinduliwa jana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri.
 Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri akitoa maelezo ya awali kuhusu chanjo ya kinga dhidi ya saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana wa miaka 14 mkoani Tabora iliyozinduliwa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri jana.
 Mkuu wa Wilaya ya Tabora, Queen Mlozi akitoa maelezo ya awali wakati wa uzinduzi chanjo kwa watoto wa kike wa miaka 14 ya kuwakinga na saratani ya mlango wa kizazi jana mkoani humo.
 Mganga Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Dkt Gunini Kamba akitoa maelezo ya awali kuhusu chanjo ya kinga dhidi ya saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana wa miaka 14 mkoani Tabora iliyozinduliwa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri jana.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri(KUSHOTO) akitoa maelezo ya awali kuhusu chanjo ya kinga dhidi ya saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana wa miaka 14 mkoani Tabora iliyozinduliwa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri jana.Wengine ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Tabora Dkt Ginini Kamba (wa pili kushoto) , Katibu wa CCM Mkoa Janeth Kayanda(wa pili kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Tabora Queen Mlozi(kulia)
 Baadhi ya wanafunzi wa kike wa Shule za Msingi na Sekondari wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (hayupo katika picha) jana wakati wa hotuba ya uzinduzi wa chanjo dhidi ya saratani ya mlango wa kikazazi kwa wasichina wa umri wa miaka 14.


Hivyo makala RC TABORA AZINDUA CHANJO YA KINGA DHIDI YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI

yaani makala yote RC TABORA AZINDUA CHANJO YA KINGA DHIDI YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC TABORA AZINDUA CHANJO YA KINGA DHIDI YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/rc-tabora-azindua-chanjo-ya-kinga-dhidi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RC TABORA AZINDUA CHANJO YA KINGA DHIDI YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI"

Post a Comment

Loading...