Loading...
title : ALIYEWAHI KUWA MBUNGE WA MONDULI KUZIKWA KESHO MJINI LONGIDO MKOANI ARUSHA
link : ALIYEWAHI KUWA MBUNGE WA MONDULI KUZIKWA KESHO MJINI LONGIDO MKOANI ARUSHA
ALIYEWAHI KUWA MBUNGE WA MONDULI KUZIKWA KESHO MJINI LONGIDO MKOANI ARUSHA
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Monduli na Mkuu wa wilaya Mstaafu, Luteni Mstaafu Lepilal Ole Molloimet aliyefariki Dunia Jumapili iliyopita,anatarajiwa kuzikwa kesho Ijumaa mjini Longido.Kwa mujibu wa msemaji wa familia Mh. Christopher Ole Sendeka, Luten Molloimet amefariki dunia kwa ugonjwa wa shinikizo la damu
Hivyo makala ALIYEWAHI KUWA MBUNGE WA MONDULI KUZIKWA KESHO MJINI LONGIDO MKOANI ARUSHA
yaani makala yote ALIYEWAHI KUWA MBUNGE WA MONDULI KUZIKWA KESHO MJINI LONGIDO MKOANI ARUSHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ALIYEWAHI KUWA MBUNGE WA MONDULI KUZIKWA KESHO MJINI LONGIDO MKOANI ARUSHA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/aliyewahi-kuwa-mbunge-wa-monduli.html
0 Response to "ALIYEWAHI KUWA MBUNGE WA MONDULI KUZIKWA KESHO MJINI LONGIDO MKOANI ARUSHA"
Post a Comment