Loading...
title : MIRADI ILIYO BORA NI ILE INAYOSIMAMIWA VIZURI NA KWA UFUATILIAJI ULIO THABITI
link : MIRADI ILIYO BORA NI ILE INAYOSIMAMIWA VIZURI NA KWA UFUATILIAJI ULIO THABITI
MIRADI ILIYO BORA NI ILE INAYOSIMAMIWA VIZURI NA KWA UFUATILIAJI ULIO THABITI
Hayo yamethibitika leo tarehe 17/05/2018 ambapo wataalam wa Manispaa ya Ubungo kwa kushirikiana na wataalam kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa walipoamua kutembelea miradi ya maendeleo kujionea utekelezaji wake.
Katika ziara hiyo ambayo inatarajia kuchukua takribani siku tatu, ilianza na ukaguzi wa miradi minne.
Katika ziara hiyo wataalam wa pande zote walipata fursa ya kujionea namna Manispaa kwa ujumla inavyotekeleza miradi yake kwa ufanisi kwa mwaka 2017/2018.
Timu kutoka Mkoani iliwaomba wataalam wa Halmashauri kuendelea na ufuatiliaji wa mara kwa mara ili fedha za serikali zisipotee. Vile vile walishauri kuongeza nguvu zaidi katika upimaji wa maeneo ya Umma na Taasisi.
Ziara hiyo inatarajia kuendelea hadi siku ya Jumamosi ya tarehe 19/05 ambapo miradi zaidi ya afya, elimu, maji na ujenzi itakaguliwa.
*IMETOLEWA NA KITENGO CHA HABARI NA UHUSIANO MANISPAA YA UBUNGO*
Hivyo makala MIRADI ILIYO BORA NI ILE INAYOSIMAMIWA VIZURI NA KWA UFUATILIAJI ULIO THABITI
yaani makala yote MIRADI ILIYO BORA NI ILE INAYOSIMAMIWA VIZURI NA KWA UFUATILIAJI ULIO THABITI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MIRADI ILIYO BORA NI ILE INAYOSIMAMIWA VIZURI NA KWA UFUATILIAJI ULIO THABITI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/miradi-iliyo-bora-ni-ile-inayosimamiwa.html
0 Response to "MIRADI ILIYO BORA NI ILE INAYOSIMAMIWA VIZURI NA KWA UFUATILIAJI ULIO THABITI"
Post a Comment