JWTZ WAKABIDHIWA VIFAA VYA MICHEZO NA NMB KWA AJILI YA MASHINDANO YA MKUU WA MAJESHI - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JWTZ WAKABIDHIWA VIFAA VYA MICHEZO NA NMB KWA AJILI YA MASHINDANO YA MKUU WA MAJESHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
JWTZ WAKABIDHIWA VIFAA VYA MICHEZO NA NMB KWA AJILI YA MASHINDANO YA MKUU WA MAJESHIlink :
JWTZ WAKABIDHIWA VIFAA VYA MICHEZO NA NMB KWA AJILI YA MASHINDANO YA MKUU WA MAJESHI
JWTZ WAKABIDHIWA VIFAA VYA MICHEZO NA NMB KWA AJILI YA MASHINDANO YA MKUU WA MAJESHI
Mlezi wa timu za Jeshi, Luten Kanal, David Mziray akipokea vifaa vya michezo kutoka kwa Meneja Mwandamizi wa NMB, Mahususi kwa wateja, Gibson Mlaseko kwa ajili ya michezo ya Mkuu wa Majeshi itakayofanyika jijini Dar es Salaam
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
BENK ya NMB imetoa vifaa vyenye thamani ya Tsh. Milioni 10 kwa timu za Majeshi ambazo zinajiandaa na mashindano ya Majeshi yanayotarajia kuanza Mei 8 hadi 20, mwaka huu kwenye viwanja vya Uhuru na Twalipo Jijini Dar es Salaam.
Michezo mbali mbali ikiwemo soka,netiboll, riadha, ngumi, kulenga shaba na mpira wa mikono inatarajiwa kuwepo na washindi watazawadiwa zawadi mbalimbali.
Akizungumza kwenye Hafla ya kukabidhia vifaa hivyo Makao Makuu ya Meneja Mwandamizi na Mahusiano kwa Wateja wa NMB, Gibson Mlaseko alisema kuwa sababu ya kutoa msaada huo ni kutokana na mahusiano mazuri waliyokuwa nayo na JWTZ, katika mambo ya michezo.
“Nashukuru kwa mahusiano mazuri kati yet una JWTZ kwani hii ni mara ya tatu tunasaidiana nao katika maswala mbalimbali ya michezo, pia lengo la msaada huu ni kutambua umuhimu wa michezo kuwa ni kuibua vipaji kujenga Afya na ajira hivyo tunamani wenzetu watavitumia vifaa hivi vizuri na kufikia malengo,” alisema Mlaseko.
Kwaupande wake Luteni Kanali David Mziray, aliishukuru NMB, kwa msaada huo na kusema watahakikisha wanavitumia vizuri ili kutimiza malengo ambayo wamejiwekea katika mashindano hayo.
“Tunawashukuru NMB kwa msaada huu vifaa hivi vitaongeza chachu ya mashindano yetu ambayo hufanyika kila mwaka tunaomba na makampuni mengine yaige mfano wao ili kuinua michezo nchini,” alisema Mziray.
Vifaa vilivyo tolewa ni pamoja na mipira ya michezo yote, Jezi za michezo yote michezo mingine ambayo itashindaniwa katika michuano hiyo ambayo hufanyika kila mwaka.
Mlezi wa timu za Jeshi, Luten Kanal, David Mziray akipokea vifaa vua michezo kutoka kwa Meneja Mwandamizi wa NMB, Mahususi kwa wateja, Gibson Mlaseko kwa ajili ya michezo ya Mkuu wa Majeshi itakayofanyika jijini Dar es Salaam
Hivyo makala JWTZ WAKABIDHIWA VIFAA VYA MICHEZO NA NMB KWA AJILI YA MASHINDANO YA MKUU WA MAJESHI
yaani makala yote JWTZ WAKABIDHIWA VIFAA VYA MICHEZO NA NMB KWA AJILI YA MASHINDANO YA MKUU WA MAJESHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JWTZ WAKABIDHIWA VIFAA VYA MICHEZO NA NMB KWA AJILI YA MASHINDANO YA MKUU WA MAJESHI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/jwtz-wakabidhiwa-vifaa-vya-michezo-na.html
0 Response to "JWTZ WAKABIDHIWA VIFAA VYA MICHEZO NA NMB KWA AJILI YA MASHINDANO YA MKUU WA MAJESHI"
Post a Comment