Loading...

WANANCHI WAIPONGEZA SERIKALI KWA KUIMARISHA MIUNDOMBINU YA AFYA

Loading...
WANANCHI WAIPONGEZA SERIKALI KWA KUIMARISHA MIUNDOMBINU YA AFYA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANANCHI WAIPONGEZA SERIKALI KWA KUIMARISHA MIUNDOMBINU YA AFYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANANCHI WAIPONGEZA SERIKALI KWA KUIMARISHA MIUNDOMBINU YA AFYA
link : WANANCHI WAIPONGEZA SERIKALI KWA KUIMARISHA MIUNDOMBINU YA AFYA

soma pia


WANANCHI WAIPONGEZA SERIKALI KWA KUIMARISHA MIUNDOMBINU YA AFYA

Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara wameipongeza Serikali  ya awamu ya Tano kwa kuhakikisha miundombinu ya afya inaboreshwa na kupunguza malalamiko ya kukosekana kwa huduma ya afya kwa jamii.


Wameyasema hayo wakati wa ziara ya Waziri wa Mchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo alipotembelea  kituo cha afya cha Sunya kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara.



Wananchi hao wakizungumza kwa nyakati tofauti wamesema Serikali imeweza kutenga bajeti kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa vituo vya afya  208 kwa  lengo la kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora za afya  kwa wakati na karibu na   maeneo wanaoishi.



Wanasema kuwa awali miundombinu mingi ya afya ilikuwa duni, kukosekana kwa vifaa tiba na umbali wa vituo vya afya ilikuwa ni changamoto kubwa kwa jamii hali ambayo ilipelekea wananchi wengi hasa wamama wajawazito kujifungulia nyumbani.

 Majengo ya Kituo cha Afya cha Sunya kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara yaliyojengwa kwa shilingi milioni 500 zilizotolewa na Serikali.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo akiwa pamoja na Waziri wa Ardhi Mhe. Willium Lukuvi wakikagua kituo cha Afya cha Sunya kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo akieleza kazi iliyofanyika katika Kituo cha afya cha Sunya kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara kwa  Waziri wa Ardhi Mhe. Willium Lukuvi kwa kutumia shilingi milioni 500 zilizotolewa na Serikali.
Baadhi ya wananchi wa Sunya , Wilayani Kiteto Mkoani Manyara wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo wakati alipotembelea Kituo cha afya cha Sunya kuona maendeleo ya ujenzi wa kituo hicho.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala WANANCHI WAIPONGEZA SERIKALI KWA KUIMARISHA MIUNDOMBINU YA AFYA

yaani makala yote WANANCHI WAIPONGEZA SERIKALI KWA KUIMARISHA MIUNDOMBINU YA AFYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANANCHI WAIPONGEZA SERIKALI KWA KUIMARISHA MIUNDOMBINU YA AFYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/wananchi-waipongeza-serikali-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WANANCHI WAIPONGEZA SERIKALI KWA KUIMARISHA MIUNDOMBINU YA AFYA"

Post a Comment

Loading...