Loading...

ASKALI JWTZ AUWAWA KWA SHAMBULIO LA KUVIZIA, WATANO HALI ZAO SIYO NZURI.

Loading...
ASKALI JWTZ AUWAWA KWA SHAMBULIO LA KUVIZIA, WATANO HALI ZAO SIYO NZURI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ASKALI JWTZ AUWAWA KWA SHAMBULIO LA KUVIZIA, WATANO HALI ZAO SIYO NZURI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ASKALI JWTZ AUWAWA KWA SHAMBULIO LA KUVIZIA, WATANO HALI ZAO SIYO NZURI.
link : ASKALI JWTZ AUWAWA KWA SHAMBULIO LA KUVIZIA, WATANO HALI ZAO SIYO NZURI.

soma pia


ASKALI JWTZ AUWAWA KWA SHAMBULIO LA KUVIZIA, WATANO HALI ZAO SIYO NZURI.





MWAMBA WA HABARI.
NA NOEL RUKANUGA.
Askali wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ameuwawa na waasi wa Siriri Jamhuri ya Africa ya Kati (TANZBATT-I CAR) baada ya kikosi cha askali 90 cha kulinda amani kushambuliwa kwa kushtukizwa.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano, Kanali Ramadhani A. Dogoli amesema kuwa tukio la kushambuliwa kwa askali limetokea Juni 3 mwaka huu saa I0 jioni.

Amesema kuwa kikundi cha wanajeshi, Maafisa na askali 90 kikiwa katika majukumu ya uwajibikaji kilishambuliwa kwa kustukizwa na kusababisha askali mmoja kupoteza maisha, huku idadi ya askali I8 wakipata majeraha.

Kanali Dogoli amefafanua kuwa askali watano hali yao siyo mzuri lakini wanaendelea na matibabu katika hospital ya Kanda ya Umoja wa Mataifa iliyopo Bangui.

"Mipango ya kurejesha nyumbani mwili wa askali wetu aliyepoteza maisha inafanywa na umoja wa mataifa na ikikamilika mwili huo utawasili nchini kwa utaratibu wa maziko" amesema Kanali Dogoli.

Katika hatua nyengine amewataka waandishi wa habari kuendelea kufanya kazi kwa uweledi ikiwemo kuzingatia maadili ya kazi yao


Hivyo makala ASKALI JWTZ AUWAWA KWA SHAMBULIO LA KUVIZIA, WATANO HALI ZAO SIYO NZURI.

yaani makala yote ASKALI JWTZ AUWAWA KWA SHAMBULIO LA KUVIZIA, WATANO HALI ZAO SIYO NZURI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ASKALI JWTZ AUWAWA KWA SHAMBULIO LA KUVIZIA, WATANO HALI ZAO SIYO NZURI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/askali-jwtz-auwawa-kwa-shambulio-la.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "ASKALI JWTZ AUWAWA KWA SHAMBULIO LA KUVIZIA, WATANO HALI ZAO SIYO NZURI."

Post a Comment

Loading...