Loading...

Dkt Mwigulu aitetea Bajeti ya Serikali

Loading...
Dkt Mwigulu aitetea Bajeti ya Serikali - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Dkt Mwigulu aitetea Bajeti ya Serikali, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Dkt Mwigulu aitetea Bajeti ya Serikali
link : Dkt Mwigulu aitetea Bajeti ya Serikali

soma pia


Dkt Mwigulu aitetea Bajeti ya Serikali

Mwamba wa habari
Serikali ya awamu ya tano kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba amesema wanaobeza Bajeti ya mwaka 2018/2019 ni hewa hawaelewi maana halisi ya Bajeti yenyewe.

Mh. Mwigulu ametoa kauli hiyo wakati wa mahafali ya kwanza ya vijana wa Chama cha Mapinduzi wa vyuo vikuu vya Mkoa wa Kilimanjaro na kusema kuna watu wameibuka wakidai Bajeti ya serikali ya mwaka 2018/2019, ya Shilingi trilioni 32.47 iliyowasilishwa Juni 14 na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango ni hewa jambo ambalo si sahihi.

"Haijawahi kutokea Bajeti ya Maendeleo kuwa hewa, hivyo wanaozungumza na kujadili kwenye mitandao ya kijamii kuwa ni hewa hawaelewi maana halisi ya Bajeti", amesema Mwigulu.

Kwa upande mwingine, Mwigulu amesema kuwa ni lazima kufunga mkanda na kujenga misingi itakayoiwezesha nchi kusimama na kujitegemea


Hivyo makala Dkt Mwigulu aitetea Bajeti ya Serikali

yaani makala yote Dkt Mwigulu aitetea Bajeti ya Serikali Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Dkt Mwigulu aitetea Bajeti ya Serikali mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/dkt-mwigulu-aitetea-bajeti-ya-serikali.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Dkt Mwigulu aitetea Bajeti ya Serikali"

Post a Comment

Loading...