Loading...

MAAFISA UUGUZI CHUO KIKUU CHA NEW YORK NCHINI MAREKANI KUSHIRIKIANA NA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KATIKA KUBORESHA UTOAJI HUDUMA KWA WAGONJWA

Loading...
MAAFISA UUGUZI CHUO KIKUU CHA NEW YORK NCHINI MAREKANI KUSHIRIKIANA NA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KATIKA KUBORESHA UTOAJI HUDUMA KWA WAGONJWA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAAFISA UUGUZI CHUO KIKUU CHA NEW YORK NCHINI MAREKANI KUSHIRIKIANA NA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KATIKA KUBORESHA UTOAJI HUDUMA KWA WAGONJWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAAFISA UUGUZI CHUO KIKUU CHA NEW YORK NCHINI MAREKANI KUSHIRIKIANA NA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KATIKA KUBORESHA UTOAJI HUDUMA KWA WAGONJWA
link : MAAFISA UUGUZI CHUO KIKUU CHA NEW YORK NCHINI MAREKANI KUSHIRIKIANA NA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KATIKA KUBORESHA UTOAJI HUDUMA KWA WAGONJWA

soma pia


MAAFISA UUGUZI CHUO KIKUU CHA NEW YORK NCHINI MAREKANI KUSHIRIKIANA NA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KATIKA KUBORESHA UTOAJI HUDUMA KWA WAGONJWA

Mkurugenzi wa Idara ya Tiba Shirikishi ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Delila Kimambo akimkabidhi zawadi ya kinyago Afisa Muuguzi wa Chuo Kikuu cha New York cha nchini Marekani Linda Herrmann wakati wa hafla fupi ya kuwaaga iliyofanyika leo katika Taasisi hiyo. Maafisa uuguzi wawili kutoka chuo hicho walifika katika Taasisi hiyo kwaajili ya kuangalia namna ya kushirikiana katika kuboresha utoaji wa huduma kwa wagonjwa.
Mkurugenzi wa Idara ya Tiba Shirikishi ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Delila Kimambo akimkabidhi zawadi Afisa Muuguzi wa Chuo Kikuu cha New York cha nchini Marekani Mary Brennan wakati wa hafla fupi ya kuwaaga iliyofanyika leo katika Taasisi hiyo. Maafisa uuguzi wawili kutoka chuo hicho walifika katika Taasisi hiyo kwaajili ya kuangalia namna ya kushirikiana katika kuboresha utoaji wa huduma kwa wagonjwa.
Mkurugenzi wa Idara ya Uuguzi Robert ally pamoja na Maafisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika picha ya pamoja na Maafisa Uuguzi wa Chuo Kikuu cha New York cha nchini Marekani Mary Brennan mara baada ya kumalizika kwa hafla fupi ya kuwaaga iliyofanyika leo katika Taasisi hiyo. Maafisa uuguzi wawili kutoka chuo hicho walifika katika Taasisi hiyo kwaajili ya kuangalia namna ya kushirikiana katika kuboresha utoaji wa huduma kwa wagonjwa.Picha na JKCI


Hivyo makala MAAFISA UUGUZI CHUO KIKUU CHA NEW YORK NCHINI MAREKANI KUSHIRIKIANA NA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KATIKA KUBORESHA UTOAJI HUDUMA KWA WAGONJWA

yaani makala yote MAAFISA UUGUZI CHUO KIKUU CHA NEW YORK NCHINI MAREKANI KUSHIRIKIANA NA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KATIKA KUBORESHA UTOAJI HUDUMA KWA WAGONJWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAAFISA UUGUZI CHUO KIKUU CHA NEW YORK NCHINI MAREKANI KUSHIRIKIANA NA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KATIKA KUBORESHA UTOAJI HUDUMA KWA WAGONJWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/maafisa-uuguzi-chuo-kikuu-cha-new-york.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAAFISA UUGUZI CHUO KIKUU CHA NEW YORK NCHINI MAREKANI KUSHIRIKIANA NA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KATIKA KUBORESHA UTOAJI HUDUMA KWA WAGONJWA"

Post a Comment

Loading...