Loading...
title : Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Yafana Muhimbili
link : Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Yafana Muhimbili
Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Yafana Muhimbili
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ambako maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanafaniyika kwa siku tatu mfulilizo. Wananchi mbalimbali wamefika kwa wingi katika hospitali hiyo kwa ajili ya kuona huduma mbalimbali zinazotolewa na hospitali hiyo pamoja na kupima afya bure. Kushoto ni Mjumbe wa Bodi ya Muhimbili, Bw. Juma Muhimbi na Mkurugenzi wa Tiba katika wizara hiyo, Dkt. Doroth Gwajima..
Bw. Paul Mayengo akipima dawa ya methadone kwa watu wenye tatizo la uraibu wa heroin katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Dawa hiyo inatumiwa na wataalamu wa afya kwa ajili ya kutibu uraibu.
Waziri Ummy Mwalimu akiwa kwenye banda la lishe ambako ampatiwa maelezo kuhusu lishe bora. Kushoto ni mmoja wa watu akipimwa afya baada ya kutembelea banda hilo leo.
Mkuu wa Idara ya Afya ya Akili, Dkt. Frank Masao akieleza shughuli mbalimbali za tiba zinazofanywa na idara hiyo.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Yafana Muhimbili
yaani makala yote Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Yafana Muhimbili Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Yafana Muhimbili mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/maonesho-ya-wiki-ya-utumishi-wa-umma.html
0 Response to "Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Yafana Muhimbili"
Post a Comment