Loading...
title : MAAJABU YA KIKOSI CHA ACELAND KINACHOTIKISA KOMBE LA DUNIA
link : MAAJABU YA KIKOSI CHA ACELAND KINACHOTIKISA KOMBE LA DUNIA
MAAJABU YA KIKOSI CHA ACELAND KINACHOTIKISA KOMBE LA DUNIA
Na Ripota Wetu,Globu ya jamii
KIKOSI cha Timu ya Taifa cha Iceland kinachoshiriki Michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea nchini Urusi kimekuwa gumzo kubwa kutokana na idadi kubwa ya wachezaji wake kuwa madaktari.Kwa kukumbusha tu idadi ya watu katika Taifa hilo la Iceland hazidi 350,000. Idadi hiyo haiwezi kuipita Wilaya yoyote ya nchini Tanzania.
Kikosi hicho chenye idadi kubwa ya madaktari katika michuano hiyo mchezo wake wa kwanza kimetoa sare ya 1-1 dhidi ya timu ya Argentina.
Katika mchezo wa kwanza kati ya kikosi hicho na Argentna nyota wa Bacelona Lionel Messi alikosa penati baada ya mkwaju wake kupanguliwa na kipa Hannes Halldorsson ambaye kitaaluma ni Mkurugenzi Mkaazi wa masuala ya filamu.
Kikosi cha Iceland ambacho kimesheheni madaktari hadi kinaingia fainali ya kombe la Dunia 2018 nchini Urusi kimecheza michezo saba ,kikishinda sita na kutoka sare mchezo mmoja.
Inaelezwa mbali ya kuwa na wachezaji madaktari pia kila mchezaji anayo taaluma nyingine inayompatia mshahara mnono tofauti na soka.Pia kocha wa kikosi hicho Heimir Hallgrimsson naye ni daktari wa meno.
Cha kufurahisha zaidi pia kikosi hicho kuna mchezaji ambaye ni wanasiasa, kuna Muoka mikate na mwingine ni Mtangazaji.Kutokana na hali hiyo kikosi hicho kimekuwa fahari kubwa kwa taifa la nchi hiyo.
Hivyo makala MAAJABU YA KIKOSI CHA ACELAND KINACHOTIKISA KOMBE LA DUNIA
yaani makala yote MAAJABU YA KIKOSI CHA ACELAND KINACHOTIKISA KOMBE LA DUNIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAAJABU YA KIKOSI CHA ACELAND KINACHOTIKISA KOMBE LA DUNIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/maajabu-ya-kikosi-cha-aceland.html
0 Response to "MAAJABU YA KIKOSI CHA ACELAND KINACHOTIKISA KOMBE LA DUNIA"
Post a Comment