Loading...
title : MPOGORO AWATUNUKU VYETI WAHITIMU 281 SENETI YA VYUO NA VYUO VIKUU NA KUVUNA WANACHAMA WA CHADEMA MKOANI IRINGA LEO. Inbox x
link : MPOGORO AWATUNUKU VYETI WAHITIMU 281 SENETI YA VYUO NA VYUO VIKUU NA KUVUNA WANACHAMA WA CHADEMA MKOANI IRINGA LEO. Inbox x
MPOGORO AWATUNUKU VYETI WAHITIMU 281 SENETI YA VYUO NA VYUO VIKUU NA KUVUNA WANACHAMA WA CHADEMA MKOANI IRINGA LEO. Inbox x
Naibu katibu Mkuu wa CCM Bara Ndg.Rodrick Mpogolo akimkabidhi cheti cha pongezi Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi ndg.Kenani kiongosi katika sherehe ya Mahafali ya Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa yaliyo fanyika katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo
Naibu katibu Mkuu wa CCM Bara Ndg.Rodrick Mpogolo akitoa vyeti kwa wahitimu wa Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa katika sherehe iliyofanyika katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Ndg Rodrick Mpogolo akipokea baadhi ya bendera na jezi za chadema wakati akimkaribisha ndg Godfrey Maiko aliojiunga rasmi na CCM Leo katika Mahafali ya Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa yaliyo fanyika katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Ndg Rodrick Mpogolo akimvisha kofia ya CCM ndg Godfrey Maiko aliojiunga rasmi na CCM Leo katika Mahafali ya Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa yaliyo fanyika katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe.Amina Masenza akipeana Mkono na Mhadhiri wa Chuo kikuu cha Tumaini Ndg Damalo aliporejesha kadi ya Chadema na Kujiunga rasmi na Chama cha Mapinduzi Leo katika Mahafali ya Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa yaliyo fanyika katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo.
Hivyo makala MPOGORO AWATUNUKU VYETI WAHITIMU 281 SENETI YA VYUO NA VYUO VIKUU NA KUVUNA WANACHAMA WA CHADEMA MKOANI IRINGA LEO. Inbox x
yaani makala yote MPOGORO AWATUNUKU VYETI WAHITIMU 281 SENETI YA VYUO NA VYUO VIKUU NA KUVUNA WANACHAMA WA CHADEMA MKOANI IRINGA LEO. Inbox x Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MPOGORO AWATUNUKU VYETI WAHITIMU 281 SENETI YA VYUO NA VYUO VIKUU NA KUVUNA WANACHAMA WA CHADEMA MKOANI IRINGA LEO. Inbox x mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/mpogoro-awatunuku-vyeti-wahitimu-281.html
0 Response to "MPOGORO AWATUNUKU VYETI WAHITIMU 281 SENETI YA VYUO NA VYUO VIKUU NA KUVUNA WANACHAMA WA CHADEMA MKOANI IRINGA LEO. Inbox x"
Post a Comment